Dr. Slaa Atakapokuwa Rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa Atakapokuwa Rais

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Salimia, Mar 20, 2011.

 1. S

  Salimia JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ninamheshimu sana Dr.W.Slaa kwa utendaji uliotukuka na moyo alioonesha wa uzalendo. Ndiyo maana kila wakati napenda kutoa angalizo kwake kuhusu uhakiki wa habari kabla hajazitolea tamko. Nasema hivi kwa sababu pindi atakapokuwa Rais, itakuwa aibu kubwa kwa Taifa Tanzania kuwa na kiongozi anayekurupuka katika kauli zake. Ni aibu sana.
  Pata picha Dr.Slaa anahutubia UN pale New York halafu anatoa statements ambazo ni za kubahatisha, dunia itatuangalia kwa jicho gani? Au utakuwa ndiyo wakati sasa Tanzania ikiwa ni zamu yake kuhutubia,wajumbe wanaona ndiyo muda muafaka wa kuvuta sigara nje? Ndiyo!! wenzetu wanathamini sana taarifa zilizo sahihi na kuhakikiwa.
  W.Slaa bado anayo nafasi nzuri ya kujirekebisha katika kutoa kauli ambazo zinaleta upotoshaji. Huhitaji kutoa kauli za kubahatisha ili hadhira ikukubali,, toa tu taarifa sahihi watu watakupenda bado. Akiweza hilo, sifa zingine tayari anazo.
  Huwa nashangaa pindi tunapoandika posts za kumkosoa Dr.SLAA zinafutwa au kutishiwa kufungiwa, na kumwagiwa matusi kedekede. Kumkosoa Slaa ni kumjenga na kumsaidia. Sasa ikiwa tutamsifia tu, si yatakuwa yaleyale, mgema akisifiwa tembo hulitia maji? Sasa kama unaogopa kumkosoa au kumpa ushauri leo,, akiwa Rais utaweza?
  Tujenge utamaduni wa kukosoa viongozi pasina woga wala uadui.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  one metric ton of crap
   
 3. z

  zamlock JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hahahaha pole uenda uwa auko makini kwenye usikilizaji wa hotuba za slaa au popote pale anapokuwa anazungumzia jambo lolote uwe unakuwa makini
   
 4. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  he will never b a president of this country tz,
  source_daily news
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Mar 20, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,606
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  This is just a wind,

  Unachosema kuhusu Slaa ni kweli, tumeliona na angalizo lako ni sahihi kabisa, you have dared.

  Sidhani kama JF huwa wanafuta thread za Slaa kama anakosolewa, labda huwa wanazi-unganisha na thread nyingine au kuhamisha jukwaa.

  Kuhusu hawa watanzania wenzetu wenye kumuabudu Slaa waache ni wakati wao na ubongo wao unawatuma hivyo. wako tayari kutukana, kusema lolote lile ili mradi tu wanayempenda aonekane msafi.

  Uwe huru kusema, utasemwa kila aina ya maneno, lakini ukisema ujumbe unakuwa umefika, JF si jukwaa pekee la kupeleka au kutoa mawazo yako, ziko blogs, forums, na njia nyingi za kupeleka mawazo na huwa nasema kila siku KAMA MTU FULANI HATAAMKA NA KUJIBU HOJA! basi tayarisho la anguko la wanaotetewa ni kubwa mno kuliko success.
   
 6. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu hilo mimi sijawahi kulisikia labda ungetoa mifano ya kauli hizo tupime na sisi, labda uelewa wako na wengine waweza kutofautiana. Tupia hizo kauli hapo tutathimini wote
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Sijui mmetumwa na nani maana wote mnaandika tread zenu kwa kuanza na "namheshimu sana Dr Slaa". Tumeshawastukia! Nawaonea huruma sana maana mnapoteza muda wenu bure, unless U r paid. Dr Slaa hajatangaza nia wala kusema popote pale kwamba atagombea urais mwaka 2015 tayari mmeanza kuhangaika. Nakushauri ukakae ujipange kuchukua fomu ya kugombea uraisi kwa chama chako maana hakuna tena anayefaa kugombea! Looser....
   
 8. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hii thread ngoja tuwaachie makambale, bwashehe, rizi1, na vitoto vinngine vya mafisadi wanomuona Dr. wa Ukweli Slaa kama panga la moto ukizingatia ndio mafisadi wa taifa la kesho.
  Endeleeni kupeana moyo.
   
 9. D

  Duma Member

  #9
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hoja zako ni nzuri sana kimaudhui, kimantiki na kimukitadha lakini tatizo lako ni msingi wa hoja zako. Kimsingi hoja zako hazijatokana na nia njema bali zimesukumwa na maslahi binafsi ndio maana kuna logical contradictions in you arguments.
   
 10. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mbona jk wakati wa kampeni alisema hata pandisha gharama za umeme , kwenye salam za mwaka mpya akasema halikwepeki, juzi anawataka wapunguze
   
 11. M

  Maimai Senior Member

  #11
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
   
 12. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  mavi... One of the kind
   
 13. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #13
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,844
  Trophy Points: 280
  Unaonyenyesha nijinsi gani ulivyo na vikra za maa ka lio! Unaomba kusaidiwa kutotolewa ombwe kwenyo bongo yako habari za gazeti la familia ya kikwete unazifanya kuwa alama ya akili yako? Pole sana
   
 14. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Matamko ya Dr Slaa ni ya kweli, wale wanaosema si ya kweli ndio wanaopaswa kututhibitishia uongo huo, na kutupa ukweli mbadala.
  Mfano wa kauli na matamko mengi yasiyo na ukweli ni yale yanayotolewa na jk. leo anasema hiki kesho anageuza. Angalia kupishana kulikopo katika serikari; Magufuli anasema bomoa Pinda anasema sitisha. Je hapo nani mkweli.
  Dr Slaa anasaidia kuibua yale ambayo watawala hawataki yajulikane na jamii ya watanzania wanyonge.
  Atakapo kuwa raisi atakuwa na uwezo zaidi wa kutoa matamko yenye nguvu, ushawishi na suluhu kwa matatitzo ya watanzania na hata dunia.
   
 15. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Mimi nakushauri ni bora uwahi mapemaaaa kwenda kupanga foleni kwa babu ili upate Kikombe chako kabla hali yako haijawa mbaya zaidi wahi haraka sana
   
 16. s

  shadhuly Senior Member

  #16
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hoja zako ni nzuri lakini bahati mbaya hapa jf dr slaa ni malaika na hawezi kukosea.na ni dhambi hata kumteta.sorry umepotea njia
   
 17. m

  msosholisti Member

  #17
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So JK na Slaa ni walewale
   
 18. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Anasoma UHURU na HABARI LEO na kuangalia TBC1 ili apate habari za Dr Slaa
   
 19. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dr Slaa ni mtu makini sana mkuu, hapa nadhan umetumwa na hao CCM, tumekushtukia na ushindwe na ulegee, slaa sio mtu wa kukurupuka mkuu, ni mtu makin, mwangalifu anayejua anafanya nn na hazungumzi kwa vile ipo kuzungumza tu, Ni hoja ipi huyu Dr wa ukwel Slaa ametoa na serikal ya CCM wakajibu kwa hoja zaid ya kutoa majib ya hovyo hovyo tu. Mkuu ee wahi kwa babu kama baadhi ya wadau wlivyokushauri
   
 20. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Kama vilaza Pinda na Kikwete walihutubia UN na IQ zao za kuku atashindwa Dr wa ukweli... Hivi Kikwete kila siku tunasikia akitoa kauli tata na asizofanyia utafiti, anayedanganywa kwa sababu ya uelewa wake mdogo si amekuwa rais kwa miaka 6 sasa, au unamaanisha nchi inajiendea yenyewe bila rais?
   
Loading...