CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,572
- 883
it is official slaa ameshindwa kuifikia rekodi ya mzee wa vunjo kwa kupata asilimia 26.3 wakati mrema alikokotoa asilimia 28
Kwa bahati mbaya mimi siyo mwanahisabati lakini hebu tumia akili kidogo. asilimia 26 ya 100 ni 26 lakini asilimia 26 ya 5000 ni 1300. sasa mrema alipata asilimia 28 ya kura ngapi na Dr. Slaa amepata asilimia 26 ya kura ngapi. jaribu kutokukurupuka kwenye vitu vinavyohusu kukokotoa Hisabati.

Sema kila kitu lakini habari ya muda wa kufa wacha kabisa!.Tutafanya uchaguzi mwingine wa Rais mwaka 2012 pale Rais Mteule wa sasa (JK)atakapokuwa amekwishafariki kutokana na maradhi aliyonayo
so what??
Slaa Bado Toto dogo weee Mrema alikuwa Noma acha kabisa kulinganisha mlima na kichuguu
Thanks Kigarama,
Na takwimu ndizo zinawatatiza wengi, wanaotaka kuendeleza mjadala fikirieni kwa kutumia shule zenu. Watu wangapi walipiga kura 1995/2010.
Kura ngapi zimeibiwa[ hata kama hamkubali]. Majimbo mangapi hayajapiga kura. ukichukua asilimia ukaziweka hapa bila justification utatuondolea wasi wasi tulionao juu ya uwezo wenu wa kufikiri.
mi naona we mahesabu yako ni ya unongo. yaani toka nikuone hapa JF sijawahi kuona umepata hesabu hata moja yaani siku zote we ni kukosea tu. du! kweli hesabu ngumuWATU HAWATAKI UKWELI HUU...ILI KUWAPOZA NA MACHUNGU YA KUSHINDWA WAAMBIE TOFAUTI NA KAULI HII.... ndo mtaelewana ...ukweli ni sumu kwa chama cha vidole juu
it is official slaa ameshindwa kuifikia rekodi ya mzee wa vunjo kwa kupata asilimia 26.3 wakati mrema alikokotoa asilimia 28
kwani kulikuwepo na makubaliano kuwa lazima afikie rekodi ya mrema? Hoja yako hasa ni nini hapo.
Yes, statisticaly the fair comparison should base on percentage and not actual numbers...