Dr. Slaa asahaulika CHADEMA

Mtoa mada atakuwa na ugonjwa wa kusahau bila shaka, kwani Dr.Slaa kafukuzwa na nani? amekaa pembeni mwenyewe na akirudi hata leo ataendelea na nafasi yake,au umesikia kuna katibu mkuu mwingine kachaguliwa? Shida nyie watu wa CCM mnadhani mnaweza kutuendesha mtakavyo, kama lini fisi akamwonea huruma sungura? HATUDANGANYIKI !!!!!!! IMEKULA KWENU......
 

Waio fanya hayo yote si ndio hao hao wakina Lowasa.....
 
Dah kweli nimeamini mbowe kishateka uwezo wenu wakufikiri,yani unatapika maneno yaleyale uliolishwa na mbowe bila hata kuongeza wala kupunguza nukta!!!!!
CDM ni chama cha umma siyo cha Slaa wala Mbowe, tunasonga mbele hata kama hawa watahama kesho cdm inadumu daima
 
Rais wa moyoni mwangu daima utabaki kma mwanasiasa bora niliyewai kumshuudia ndan ya mboni za macho yangu
 
wanachadema hawawezi kumchoka Dr Slaa, huyo ndiye Chadema.
 
Wana izaya wanafiki wakubwa waliwahi kuimuta majina kibao mara dr slaa rais wa mioyoni mwao,mara baba yao wa kambo etc...sasa wote wamenunuliwa na Fisadi papa nyangumi

Una akili wwe gamba

Tambua slaa bado rais wa moyoni mwangu
 
...........atakumbukwa baada ya tarehe 25.
 
Wewe Dr Slaa ankuhusu nini, mwache mzee wetu aoumzike, lakini najua tuko nae ndani ya Chadema.
Naye ni binadamu, kuna mambo akuyaelewa mapema wakati wa mchakato wa kumpata mgombea urais, ila baadae ataelewa taratibu na kujiunga nasi.
 

Kwa hiyo hii inahalalisha na nyinyi kumsahau slaa??
 
Comrade Maisha ni lazima yaendelee; with or without Dr Slaa ama Lipumba; waacha wenye chama chao wafanye shughuli zao, Pilipili usiyokula yakuwashiani?! utasutwa!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…