Kansigo
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 2,670
- 2,156
Wanajanvi ni ukweli usiofichika kuwa wanachadema kwa sasa hawana muda tena kumfikiria Dr Slaa na wala hawaoni pengo lake. Hatuzisikii tena zile movement za bring back or Dr slaa, nitaondoka na dr slaa etc.
Muda mwingi wako busy na MADODOKI kumsafisha yule walomwita fisadi kwa miaka minane mfululizo bila aibu yotote.
Nawatahadharisha kuwa dhambi ya kumnyanyapaa kiasi hiki Dr Slaa aliyekiweka chama katika sura iliyopo leo, hata kikawavutia hao mnaowasafisha leo haitowaacha salama.