idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,298 Reaction score 38,440 Jun 17, 2017 #281 Mtamkumbuka sana..... Lakini Mashinji si yupo Katibu Mkuu msomi kuliko wote duniani?
M Martin George JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 1,695 Reaction score 1,470 Jun 17, 2017 #282 Manyallaboy said: Anam...... burudani tosha au ulitaka uende wewe? Click to expand... Hahahaaaa mkuu sasa Rutta aende akafanye nini tena?!
Manyallaboy said: Anam...... burudani tosha au ulitaka uende wewe? Click to expand... Hahahaaaa mkuu sasa Rutta aende akafanye nini tena?!
comred JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 1,867 Reaction score 1,606 Jun 17, 2017 #283 Bado yupo Fungate.. Anakula mzigo.. Mshumbushi hajawahi muacha Dr Salama..
M Martin George JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 1,695 Reaction score 1,470 Jun 17, 2017 #284 idawa said: Mtamkumbuka sana..... Lakini Mashinji si yupo Katibu Mkuu msomi kuliko wote duniani? Click to expand... Katika hili la makanikia tutawakumbuka wengi na hasa wale ambao source zao za income hazieleweki!
idawa said: Mtamkumbuka sana..... Lakini Mashinji si yupo Katibu Mkuu msomi kuliko wote duniani? Click to expand... Katika hili la makanikia tutawakumbuka wengi na hasa wale ambao source zao za income hazieleweki!
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,975 Reaction score 75,064 Jun 17, 2017 #285 idawa said: Mtamkumbuka sana..... Lakini Mashinji si yupo Katibu Mkuu msomi kuliko wote duniani? Click to expand... Nyie mliomrubuni ndiyo mnamkumbuka sisi hatuna dili naye tena, makanikia yenu hayo.
idawa said: Mtamkumbuka sana..... Lakini Mashinji si yupo Katibu Mkuu msomi kuliko wote duniani? Click to expand... Nyie mliomrubuni ndiyo mnamkumbuka sisi hatuna dili naye tena, makanikia yenu hayo.
kg1 Senior Member Joined May 27, 2017 Posts 152 Reaction score 55 Jun 17, 2017 #286 Martin George said: Tupo vitani tukitetea rasilimali zetu yakiwemo madini na makanikia, so wenzetu mnaoishi Canada makao makuu ya adui tujulishane yanayojiri huko. BTW Katibu Mkuu wa Chadema mstaafu aishiye huko Canada anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato? Click to expand... Muulize Mbowe LOWASA yuko wapi?
Martin George said: Tupo vitani tukitetea rasilimali zetu yakiwemo madini na makanikia, so wenzetu mnaoishi Canada makao makuu ya adui tujulishane yanayojiri huko. BTW Katibu Mkuu wa Chadema mstaafu aishiye huko Canada anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato? Click to expand... Muulize Mbowe LOWASA yuko wapi?
S sntambism JF-Expert Member Joined Jul 22, 2014 Posts 316 Reaction score 100 Jun 17, 2017 #287 Anauza mihogo
BEDUI Jr JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 2,037 Reaction score 2,857 Jun 17, 2017 #288 Anasubili kupokea Makinikia yalioziuliwa bandari
Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,064 Reaction score 18,367 Jun 17, 2017 #289 Muongeze na mmoja ameenda huko juzi sijui kufanya nini! Tumekataliwa kuwajadili
M Martin George JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 1,695 Reaction score 1,470 Jun 17, 2017 #290 kg1 said: Muulize Mbowe LOWASA yuko wapi? Click to expand... Lowasa tumemuona juzi akimpongeza Dr Magufuli anavyopambana na wezi wa makanikia!
kg1 said: Muulize Mbowe LOWASA yuko wapi? Click to expand... Lowasa tumemuona juzi akimpongeza Dr Magufuli anavyopambana na wezi wa makanikia!
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,298 Reaction score 38,440 Jun 17, 2017 #291 DOUGLAS SALLU said: Nyie mliomrubuni ndiyo mnamkumbuka sisi hatuna dili naye tena, makanikia yenu hayo. Click to expand... Kama kushuka kwa Chadema toka asilimia 32 hadi 17 huoni basi wewe ni zaidi ya zuzu.
DOUGLAS SALLU said: Nyie mliomrubuni ndiyo mnamkumbuka sisi hatuna dili naye tena, makanikia yenu hayo. Click to expand... Kama kushuka kwa Chadema toka asilimia 32 hadi 17 huoni basi wewe ni zaidi ya zuzu.
Musoma Yetu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2016 Posts 2,635 Reaction score 2,303 Jun 17, 2017 #292 ehee, watu mna majibu.. Halafu kwa dizaini hii tuendelee.. Hizo ni ndoto za yesu kuja, wkti hatujui ni lini atakuja duniani tena.
ehee, watu mna majibu.. Halafu kwa dizaini hii tuendelee.. Hizo ni ndoto za yesu kuja, wkti hatujui ni lini atakuja duniani tena.
mb on JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 1,821 Reaction score 797 Jun 17, 2017 #293 Anajipumzisha na makelele ya CHADOMO
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,640 Reaction score 65,113 Jun 17, 2017 #294 Dr Slaa ndiye mcheniuaji mkuu wa makinikia
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,975 Reaction score 75,064 Jun 19, 2017 #295 idawa said: Kama kushuka kwa Chadema toka asilimia 32 hadi 17 huoni basi wewe ni zaidi ya zuzu. Click to expand... Zuzu ni wewe unayeamini takwimu za ya yuke mrundi mganga njaa
idawa said: Kama kushuka kwa Chadema toka asilimia 32 hadi 17 huoni basi wewe ni zaidi ya zuzu. Click to expand... Zuzu ni wewe unayeamini takwimu za ya yuke mrundi mganga njaa
Toosweet JF-Expert Member Joined May 27, 2012 Posts 2,140 Reaction score 1,982 Jun 19, 2017 #296 Usaliti ni uhalifu.
Mindi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2008 Posts 3,523 Reaction score 4,998 Jun 19, 2017 #297 The Boss said: Kwanza huku wana UKAWA wengi wanamuonea huruma alivyoingizwa mkenge na Magufuli Sasa watu wanao kuonea huruma wataku dhuru vipi? Click to expand... Naona siku hizi kachoka hata kutoa pongezi kwa Magufuli. kapongeza weee, mwisho kashindwa
The Boss said: Kwanza huku wana UKAWA wengi wanamuonea huruma alivyoingizwa mkenge na Magufuli Sasa watu wanao kuonea huruma wataku dhuru vipi? Click to expand... Naona siku hizi kachoka hata kutoa pongezi kwa Magufuli. kapongeza weee, mwisho kashindwa
J Joto Balaa JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,141 Reaction score 770 Jun 19, 2017 #298 Shuntama ni nini?
Mathanzua JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 17,435 Reaction score 23,092 Jun 19, 2017 #299 Ileje said: Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania! Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa? Click to expand... Mmm, ngoja nipite tu.
Ileje said: Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania! Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa? Click to expand... Mmm, ngoja nipite tu.
Kibo255 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2013 Posts 4,408 Reaction score 3,941 Jun 19, 2017 #300 Usaliti ni kitu kibaya sana asa kuwasaliti wananchi sasa slaa alilisaliti hadi kanisa na familia huyu bado kuchanganyikiwa tu
Usaliti ni kitu kibaya sana asa kuwasaliti wananchi sasa slaa alilisaliti hadi kanisa na familia huyu bado kuchanganyikiwa tu