Uzuri safari za Kikwete zina mafanikio mengi. Sasa katibu mkuu anazurura kila siku???
Hayo ni matumizi mabaya ya Fedha za chama....
Dr Slaa anapenda sana kusafiri. Hivi hizo hela za safari za kila siku si bora
zipelekwe sehemu nyingine. Wana cdm kataeni hizi ziara.
Tafuteni mgombea mwingine slaa amechina kinoma
Dr Slaa anapenda sana kusafiri. Hivi hizo hela za safari za kila siku si bora
zipelekwe sehemu nyingine. Wana cdm kataeni hizi ziara.
Muulize Rais dhaifu,ni safari ya 360 ,miaka mitatu nje ya nchi!Hizo hela zimetoka wapi?
Ebu mwambie huyo Rais Magamba alekebisha hapo
o.
kwa hiyo na nyie inabidi muendeleze uozo huu huu wa safari kwa sababu JK ana safari 360.
Dr slaa siku akifa mdomo atauacha wazi kwa ajili ya UONGO
Huu uchaguzi utakuwa kwa katiba ipi maana kama sielewi elewi na vyama jicho wameliweka 2015 wakati huu wa serikali za mitaa ndio msingi wa mambo yoteM4c iboreshwe! Kuanzia mwezi wa 10 uchaguzi wa serikali za mitaa! Dr. Slaa apange timu mapema!
The world is turning around Yesterday becomes tomorrow when lies are said to be the truth and truth is said to be lie.Dr slaa siku akifa mdomo atauacha wazi kwa ajili ya UONGO