Dr slaa anatambulika ndani ya mioyo ya wa tz wenye uchungu na ukombozi wa nchi.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Nimesoma thread Moja ikatamka Dr slaa hatambuliki kimataifa,Mi nakujibu kuwa Anatambulika ndani ya Mioyo ya Watanzania wenye Uchungu na Ukombozi wa nchi hii kutoka kwa Wakoloni Weusi Magamba au CCM.

Jua hilo.
 
Anatambulika kwa wavivu wa kufanya kazi za kujenga familia zao kutwa nzima barabaran wakiandamana
 
Truth Dr slaa ndiye rais wangu since 2010 Na kuna gari liko bandarini blet no ni T 2015 CDM is made in karatu ni noma linaweza toka wakati wowote tangu sasa viva cdm
 
Nimesoma thread Moja ikatamka Dr slaa hatambuliki kimataifa,Mi nakujibu kuwa Anatambulika ndani ya Mioyo ya Watanzania wenye Uchungu na Ukombozi wa nchi hii kutoka kwa Wakoloni Weusi Magamba au CCM.

Jua hilo.

Kwani atawaongoza mataifa au watanzani?
 
mnambowa atakuwa kaelewa,yeye anajidai magamba damu damu,wakati anadhiki kama nini,
Ukitaka kujua hawa magamba wevi wakubwa Nenda Pale dodoma kwenye hotel yao,CAPITAL LOGE wameiba vitanda vyote...
 
Back
Top Bottom