Huu ni ujinga tu mkuu maana kila mtu anaelewa kuwa Dr. Slaa mahisiano yake ni halali wala hamna cha mke wa mtu wala nini ni propaganda tu ambazo ni watu wachache wenye akili wanaweza kuzinunua.Tatizo ni watanzania kuwa na mawazo ya kiuzifu.tunahitaji rais si mme au mke wa mtu.tuambie kama ammzini mamako!
Hilo Halina Pingamizi Mkuu Slaa Anaingia Magogoni, Iwe Mchana, Iwe Usiku, Kuche Kusikuche, Jogo Awike Asiwike, Mbona Mkapa Alioa Mke Wa Bazir Mlamba Mpaka Mlamba Akapozwa Na Kawizala Ka Fedha, Lakini Hatusemi!
UKAWA wajaribu mtu mwingine, Slaa na Lipumba wamechoka.Mbona huyo alishambwaga jk Ktk uchaguzi ule! Uliyopita ila safari hii lazima kieleweke
Slaa ni mzinzi
. Mbaguzi ana chuki ya asili na mkurupukaji ktk maamuzi
Hivi mnajuwa maana ya uadilifu au mnajiandikia tu?
Mtu mwadilifu anapelekwa mahakamani kwa kosa la kutekeleza "mke" na watoto?
Fikiri.
Hivi unafikiri Josephine Mshumbusi hakuwa Maslahi ya Mahimbo? au yeye siyo mwananchi?Amezini na baba yako kiongozi? Kambagua ama anachuki na nani zaidi ya matendo yanayohujumu maslahi ya nchi kitu ambacho ndicho kilio cha tanzania nzima?
Bisha kwa hoja.
Hivi mnajuwa maana ya uadilifu au mnajiandikia tu?
Mtu mwadilifu anapelekwa mahakamani kwa kosa la kutekeleza "mke" na watoto?
Fikiri.
Unafikiri kumpigia debe SLAA ndiyo kupiga vita ufisadi. HAUJUI SLAA analipwa zaidi ya mil.12 kila mwezi za bureee kabisa? HaujuiAGAZETI la Tanzania Daima lilianzishwa kwa pesa za Chama? Unajua jengo la Slaa lililoko Mbezi beach limejengwakwa pesa gani? Unajua sababu za ZITTO na akina Mwigamba wamefukuzwa Chadema kwa kosa gani? Unajua chanzo cha kifo cha CHACHA WANGWE?Tena wewe nyamaza kabisa. Ungekuwa na uzalendo hata chembe, usingetetea ufisadi, rushwa na ugaidi. Ni afadhali ukanyamaza kuliko kuleta hoja za kijinga hapa.
SLAA kuoa mke wa mtu ni propaganda au haujui maana ya propaganda?Tatizo la ccm wengi ubongo ni tatizo...yaan propaganda ya mwaka 47 mnaitumia hadi leo?Mkiona Jina dr Slaa mnakuwaga kama mmepandwa na maruani
Unafikiri kumpigia debe SLAA ndiyo kupiga vita ufisadi. HAUJUI SLAA analipwa zaidi ya mil.12 kila mwezi za bureee kabisa? HaujuiAGAZETI la Tanzania Daima lilianzishwa kwa pesa za Chama? Unajua jengo la Slaa lililoko Mbezi beach limejengwakwa pesa gani? Unajua sababu za ZITTO na akina Mwigamba wamefukuzwa Chadema kwa kosa gani? Unajua chanzo cha kifo cha CHACHA WANGWE?
Hivi unafikiri Josephine Mshumbusi hakuwa Maslahi ya Mahimbo? au yeye siyo mwananchi?