minda
JF-Expert Member
- Oct 2, 2009
- 1,068
- 67
Wakuu,
Ni siku chache zimebaki watanzania tutakapopiga kura kuchagua viongozi wetu ( wawe watu au chama!)
Ni wazi, kwa sasa kila mtanzania mwenye haki ya kupiga kura atakuwa ameshasikiliza sera za vyama mbali mbali katika kampeni zinazoendelea kwa sasa.
Baada ya kusikiliza kampeni za vyama mbali mbali, binafsi nimeona kwamba Dr Slaa anafaa kuwa rais wa nchi yetu.
Pengine mkuu yeyote anaweza kuniuliza ni kwanini. Majibu yako mengi lakini hasa; Dr Slaa-
Mungu ibariki Afrika! Mungu ibariki Tanzania!
nawasilisha!!!

- Ni mjasiri anayetetea maslahi ya taifa (sote tumeshuhudia bungeni).
- Anatoa matumaini kwa watanzania walio wengi kupitia sera ya elimu bure.
- anaahidi vitu vinavyotekelezeka, mfano kupunguza kodi ya vifaa vya ujenzi.
- Tunamuamini tunamhitaji.
- Ongezea...!