Dr Slaa amuumbua John Tendwa

Huyo rage ipo siku atampiga mtu risasi raia bila kosa,kila mara anavunja sheria hatua hazifuatwi,sidhani kama ana nguvu zaidi ya uma,sheria ifuate mkondo wake

maharage ana nguvu zaidi ya umma?! ila siku akikiasi chama cha kijani (ccm) ndipo utajua jamaa si mtanzania! ila kwa sasa aaaahh..ni mtanzania!
 
Watu wamepigwa na wengine kufa kwa siasa chafu za ccm overtime Tendwa hajawahi kusema cdm wapeleke maoni, polisi wameua watu Tendwa yupo kimya, Rais anashauriwa aunde tume ya kijaji kuchunguza vifo hajawahi kujibu hata barua. Mkutano mkuu wa ccm Rais anakiri kwa kauli yake kuwa ni mwafaka sasa ccm kuacha kulitumia Jeshi. Tendwa yupo kimya. Je kinachomuwasha ni nini kwa sasa? He iz useless
 
Sharobaro Tendwa, upara si busara! Mwanya uko hadi ubongoni!
 
Hili zee jinga sana....hebu litueleze basi kama lilimwandikia Mukama barua ya kumtaka atoe maoni yake juu ya kukatwa mapanga wabunge wa cdm kule Mwanza ukizingatia gari la mbunge wa viti maalumu (ccm)Maria hewa...lilihusika kwenye operation hiyo chafu...halafu leo anamtaka Slaa atoe maoni..shenzi zake aakafilie mbali na unafiki wake..Suala si liko mahakamani au yeye ni nani?Kwanza ni nini maoni yake kuhusu maneno yake ya uongo kuhusu washiri kule Arumeru?
 
Soon utasikia wagogo hawataki CHADEMA, hili zee bana.
 
Wakati mwingine ukimfikiria sana Tendwa na kauli zake na matendo yake unaishia kujisemea moyoni kuwa Tanzania ina hadithi za kuumiza sana mioyo! Hadithi za kuuwawa kwa Albino (ndugu zangu wa Kwembago) vikongwe na kauli za Tendwa haviachani mbali sana.

Eee Mungu niepushe na uzee wa aina hii.
 

Ubongo ukiwa kibogoyo watu wazima wanatia aibu kweli!! Tendwa sasa ni kituko!
 
Tendwa zero kabisa, yaani hawezi kuficha mapenzi yake kwa chama cha CCM.
 
Huyo rage ipo siku atampiga mtu risasi raia bila kosa,kila mara anavunja sheria hatua hazifuatwi,sidhani kama ana nguvu zaidi ya uma,sheria ifuate mkondo wake

Nyie si mmewapa Al Shabab Ubunge ndani ya Bongo kana kwamba hakuna wa Tz....... Sasa endeleeni kushuhudia yanayojiri kwa huyu Al shabab......
 
Inabidi apewe mipaka ya kazi yake! Tofauti na hapo atakuwa anaumbuka kila uchao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…