Dr. Slaa AMKIMBIA Wilson Mukama katika mjadala?

Kamura

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
506
52
Dk. Wilbroad Slaa ameingia mitini licha ya kuthibitisha kushiriki kwenye kipindi cha Jambo kinachorushwa na TBC1 ambacho kililenga kumkutanisha na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. Wote walithibitisha kushiriki lakini ghafla Dk. Slaa akaingia mitini.
 
Hakuna cha excuse, kama aliahidi na hakufika then it is a bad sign... we want reliable leaders sio makamba style!!! I hope Dr. Slaa akakuja na clear clarification about this

bad stuff though
 
Hakuna cha excuse, kama aliahidi na hakufika then it is a bad sign... we want reliable leaders sio makamba style!!! I hope Dr. Slaa akakuja na clear clarification about this

bad stuff though

CCM ndio mabingwa wa kukimbia midahalo
 
Lazima unavizia ubwabwa mweupe sehemu! Leo ni Ijumaa lazima unyooshe mkono wa kulia.
 
Dk hawezi kumkacha mzushi Mukama, atakuwa na strong reason for his absence, ngoja tumsubirie na majibu. Inteligensia yenyewe imemtenga Mukama kwa taarifa zake zisizo na tija.
 
Kafanya la maana yaani wewe Mbuni halafu uende kufanya mdahalo nyumbani kwa Nyani na unayefanya nae huo mdahalo ni Kima! Heri hata wangeenda ITV au STarTv KIDOOOGO! si mnakumbuka last time kila akitaka kuongea anakatizwa ila akiongea mwenzie aaaahh, ndio hakwenda sasa wajinyonge na TENDWA NA BANA wamekiri kuwa WAAJIRI wao wanaelekea shimoni. Full stop
 
Heshimu mawazo ya watu. Ikibidi wewe ndio ufutwe.

unaleta stori za majungu hapa tusiseme? Ufutwe wewe kwa kuleta majungu hapa.Umeona hiki nacho ni kitu cha kuwapa magamba credit? Tumikieni wananchi acheni majungu
 
Dk hawezi kumkacha mzushi Mukama, atakuwa na strong reason for his absence, ngoja tumsubirie na majibu. Inteligensia yenyewe imemtenga Mukama kwa taarifa zake zisizo na tija.
Dk. ndiye mzushi hawezi kukuahidi kuhudhuria akakacha.
 
Hii nayo ni sera kweli Magamba hamna hata cha kufikiri! Dr Slaa ataongea nini na Wilson Mukamasi?
 
Je ilijulikana ni kwanini hakuja au tunahukumu tu?
Hata hivyo Mukama hana ubavu wa kushindanishwa na Dr Slaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…