Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
33,901
Reaction score
20,410
Wadau, amani iwe kwenu.

Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.

Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.

Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.

Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe
 
Endelea kujifariji. Utakuwa ni punguani kama utadharau nguvu ya Dr Slaa

Lizaboni sisi ni wa Lowassa, sisi ni wa mabadiliko. Hizo takataka nyingine hatuna habari nazo. Tubadili kwanza mfumo usiwe wa chama kimoja baada ya miaka 5 ukawa nao tunawacheki. Kwa hii nchi ni Mali ya kundi CCM pekee? Chadema na vyama vingine katiba haivitambui? Kwa kufanya hivyo faida inaturudia cc wananchi wa kawaida na kila chama kitakachokuwa kikipata ridhaa hakitafanya makosa. Fuatilia alichotuahidi mwinyi, aliahidi Mkapa, akaahidi Kikwete na sasa anaahidi Magufuli miaka 54. Hapana walichofanya hakiendani na muda tuliowapa. Ni wakati wa UKAWA kuitawala. Mungu bariki Tanzania.
 
Maskini CCM...wamechanganyikiwa hawaamini kinachoendelea maana mapenzi ya wananchi kwa Lowassa na UKAWA yameongezeka zaidi ya awali, hiyo inaitwa positive feedback.
UKAWA ndiyo mmechnganyikiwa. Fisadi lowasa aliambiwa arudishe hela za marafiki zake sasa akishindwa tena lazima mfe naye kwa presha. Na ninyi ni wapumbavu na malofa yaani hamjui apson na marando wameusuka huu mpango kuharibu nguvu ya upinzani mnadhani mtashinda? Wewe subiri viongozi wenu by october watapingana na kurushiana ngumi au kupigana wao kwa wao. Si unakumbuka ilivyosambaratika nncr? Labda kama ulikuwa mtoto. Kama una akili huwezi kushabikia kinachoendelea chadema hata kidogo.
 
Lizaboni sisi ni wa Lowassa, sisi ni wa mabadiliko. Hizo takataka nyingine hatuna habari nazo. Tubadili kwanza mfumo usiwe wa chama kimoja baada ya miaka 5 ukawa nao tunawacheki. Kwa hii nchi ni Mali ya kundi CCM peke? Chadema na vyema vingine katiba haivitambui? Kwa kufanya hivyo faida inaturudia cc wananchi wa kawaida na kila chama kitakachokuwa kikipata ridhaa hakitafanya makosa. Fuatilia alichotuahidi mwinyi, aliahidi Mkapa, akaahidi Kikwete na sasa anaahidi Magufuli miaka 54. Hapana walichofanya hakiendani na muda tuliowapa.
Mkuu, yaani mmechanganyikiwa sana. Huwezi kumpa kazi ya kuleta mabadiliko fisadi. Hapo ndipo mlipojinyea kiganjani
 
UKAWA ndiyo mmechnganyikiwa. Fisadi lowasa aliambiwa arudishe hela za marafiki zake sasa akishindwa tena lazima mfe naye kwa presha. Na ninyi ni wapumbavu na malofa yaani hamjui apson na marando wameusuka huu mpango kuharibu nguvu ya upinzani mnadhani mtashinda? Wewe subiri viongozi wenu by october watapingana na kurushiana ngumi au kupigana wao kwa wao. Si unakumbuka ilivyosambaratika nncr? Labda kama ulikuwa mtoto. Kama una akili huwezi kushabikia kinachoendelea chadema hata kidogo.
Na Lowasa atakufa kifo cha karaha sana. Maana hataamini kitakachotokea siku ya uchaguzi
 
Tumesha amua mabadiliko.....mwendo ndo ule ule......Lowasaaaaaaa.....Mabadilikooooo........Mabadilikooooooo........Lowasaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom