Dr. Slaa amfuata Lipumba

Hivi UMMA ni gazeti la akina nani? Ni "kama" Kiongozi au??????????????????
 
slaa na lipumba wana akili kuliko mamilioni ya wanaukawa wanaotembea kama misukule wakifuata mawazo ya mbowe bila hata tafakuri

Wana Akili gani wakati walipewa Pesa na Membe ili kumkomoa lowasa
 
Kwa kuzingatia dhana nzima ya mabadiliko, tumefika mahali hata Jiwe ndani ya UKAWA lipewe uongozi wa nchi hii. Therefore, Go Dr. Slaa japo tungependa uwe Waziri Mkuu baada ya Jembe Lowassa kushika madaraka ya nchi hii.
 
Kamati kuu,mkutano mkuu,wanachama wa Chadema,kwa ujumla wao wamekubariana Lowasa aje,mtu mmoja tu agome?!
 
Ametamka mwenyewe au mnamsemea!!? Maana ktk magazeti kuna watu ni hodari wa maneno ya kubumba,tusubilie atakapoamua kusema
 
Toa kauli watu wajue kama tuko pamoja kwenye safari ya mabadiliko au umechomoa?
 
Hivi hilo ni gazeti au kipeperushi
Vipeperushi visivyokuwa na wateja sasa ndio wakati wao wakupata mavuno kwa kutumia mgogo wa watu mashuhuri kwa kuandika stori za kutunga zisizokuwa na upembuzi yakinifu,ukisoma kichwa cha habari na habari yenyewe unakuta ni vitu viwili tofauti.
Kwa hiyo kabla hujacomment uzi huu jilizishe kwanza na umakini wa chanzo cha habari.
 
Nenda Dk. Slaa hakika utaishi ndani ya moyo wangu mpaka kufa kwangu, hakika wewe ni mwanasiasa pekee hapa Tanzania kuwahi kutokea ***Mungu akubariki Dk****


Dr. W. P. Slaa is the only living politician who i trust 100%.
 
Mabadiliko keanza misimamo ya mtu binafsi baadae. In 1944 before the fall of Nazi Germany in 1945 the allies Britain, USA and others on one side the Russian army on the other, different ideology but the same aim, to defeat Hitler! To defeat CCM all forces should come together! Slaa aangalie hili isije ikamsuta after the victory.
 

Hivi nyie mnataka kutuamisha utakatifu wa lowasa,mnatumia kigezo gani?
Rafiki yake mpendwa ambaye hakuokotana barabarani aliwaambia wajumbe kwamba 1995 jina la el lilikatwa kwa sababu ya ukwasi usio na maelezo,mwenyewe HAJAKANUSHA.
 
Nakupenda sana Dk,ila nafikiri ulichokipanda moyoni mwetu ni uzalendo na mabadiliko..na ndo haya yamekuja na wewe unatutosa...hatutaenda na wewe ila kweli tutakukumbuka!

Dr Slaa ni mtu mwenye INTEGRITY.
 


Naomba uheshimu watu basi. Huyu anaitwa Dr. Slaa, siyo slaa. Na mwingine anaitwa Bw. Lowasa, siyo lowasa. Ulivyoandika inatia kinyaa kusoma, vuuuuu!
 
tunahitaji mabadiliko, lowasa ni mtanzania kwa nini abaguliwe? Ccm ni wabaguzi ukawa ni wa upendo na amani. Ukawa woyeeeeeeeeeeee mabadiliko ni lazima na mabadiliko ni sisi tujitokeze kuhakiki taarifa zetu kwenye daftari la kudumu la mpiga kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…