singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Tupo pamoja mkuu.Nenda Dk. Slaa hakika utaishi ndani ya moyo wangu mpaka kufa kwangu, hakika wewe ni mwanasiasa pekee hapa Tanzania kuwahi kutokea ***Mungu akubariki Dk****
Mageuzi ni muhimu kuliko ndoto na malengo binafsi.