MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,369
Hapo kachemka wasitoe misaada ya pesa na watu wao wakale wapi? Unaipa msaada nchi pesa halafu unaleta watu wako waje kuzibomolea huku kama wasimamizi wa hizo pesa na hayo uliyotolea msaada.Misaada ya pesa haiji kukoma ng`o.Na ambao hataki ikomeshwe kama hajui ni hao wanaotoa wenyewe.Hiyo hotuba aliyotoa ni mwiba kwa CHADEMA.Hawajaangalia wanaowahutubia huwa wanapenda nini.Saa hii watakuwa wamejifungia ndani wanaichambua kama karanga.Take it from me CHADEMA isahau misaada ya fedha toka kwenye nchi hizo walikohutubia.CHADEMA misaada ya fedha toka nje ikipungua wasishangae hotuba zao zimewaponza.
Nikupe siri moja mdogo wangu,ukiona jambo lolote unalolifanya ukalipwa basi ujue kazi yako au mchango wako unathamani.Sasa nyinyi misukule mnalipwa nini? halafu urais hata TFF,vyuoni upo anaweza kuwa rais wa Open University sikatai.kwenye huu uzi tu una comments zaid ya 10 ,utalipwa sh ngapi?
@Dr .w.slaa ndiye rais wako ajaye
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amemaliza ziara ya wiki tatu nchini Marekani aliyoalikwa na Umoja wa vyuo vikuu vikubwa nchini humo.
Mkuu Mingoi,Nikupe siri moja mdogo wangu,ukiona jambo lolote unalolifanya ukalipwa basi ujue kazi yako au mchango wako unathamani.Sasa nyinyi misukule mnalipwa nini? halafu urais hata TFF,vyuoni upo anaweza kuwa rais wa Open University sikatai.
Misukule ina sifa kuu mbili,UONGO na MATUSISema kweli wacha uongo ni vyuo vikubwa vipi? maana Samford Christian University hakiko hata katika rank ya vyuo 2000 bora vya USA.
Labda utuambie Umoja wa vyuo vya Kikristo nchini humo. Hapo tutakubaliana.
Kwanini mnapenda kusema uongo?
hapo kachemka wasitoe misaada ya pesa na watu wao wakale wapi? Unaipa msaada nchi pesa halafu unaleta watu wako waje kuzibomolea huku kama wasimamizi wa hizo pesa na hayo uliyotolea msaada.misaada ya pesa haiji kukoma ng`o.na ambao hataki ikomeshwe kama hajui ni hao wanaotoa wenyewe.hiyo hotuba aliyotoa ni mwiba kwa chadema.hawajaangalia wanaowahutubia huwa wanapenda nini.saa hii watakuwa wamejifungia ndani wanaichambua kama karanga.take it from me chadema isahau misaada ya fedha toka kwenye nchi hizo walikohutubia.chadema misaada ya fedha toka nje ikipungua wasishangae hotuba zao zimewaponza.
nikupe siri moja mdogo wangu,ukiona jambo lolote unalolifanya ukalipwa basi ujue kazi yako au mchango wako unathamani.sasa nyinyi misukule mnalipwa nini? Halafu urais hata tff,vyuoni upo anaweza kuwa rais wa open university sikatai.
misukule ina sifa kuu mbili,uongo na matusi
Vipi ulitaka uolewe wewe na Dr Slaa? Maana naona una nyodo kibao.Nafikiri alichotaka kusema Slaa kama padri mfukuzwa anayejua maadili ya ndoa aliyokuwa akifundisha wakati padri alitakiwa asafiri na mke wa ndoa aliyefunga naye kwa kanuni za kikatoliki.Lakini huyo aliyeenda naye (of-course walikuwa wanalala naye) kachemka.Ila lugha aliyotumia mwandishi kali lakini ujumbe ndio huo.
Acha uongo we msukule wa team lumumba. Hapo mtaa wa lumumba mnajua ratiba nzima ya siku ya kuondoka Dar hadi mahali alikotembelea na nini alichokiongea huko alikotembelea. Pia mtaa wa lumumba mnafahamu ni lini anarudi na ndege atakayosafiri nayo na muda atakaotua nchini!
Hivi wewe unavifahamu vyuo vikuu vikubwa Marekani kama siyo kuonyesha jinsi usivyofahamu kile unachoandika.
Nyenzo zote za kutafiti, kujifunza na uelewa umepewa lakini kwa uvivu au kutokuelewa kutumia inakufanya uonekane bado uko gizani na hufahamu kile unachokiandika.
Hata kutumia google search engine napo mpaka tukufundishe?.
Akili za kibavicha ni hasara tupu.
Nikupe siri moja mdogo wangu,ukiona jambo lolote unalolifanya ukalipwa basi ujue kazi yako au mchango wako unathamani.Sasa nyinyi misukule mnalipwa nini? halafu urais hata TFF,vyuoni upo anaweza kuwa rais wa Open University sikatai.
Unaitwa Umoja wa vyuo vikuu Marekani,
Bavicha souds haya nenda ufipa kachukue viroba vyako.
beggarsSiasa aisee dah Dr.Slaa katoka kula Bata na Demu wake kwa Obama waTanganyika mnalumbana tu mara Lumumba mara Bavicha.......kazi kwenu wakereketwa na wanazi wa siasa......we mhudumu lete bia hapa....
Hivi wewe unavifahamu vyuo vikuu vikubwa Marekani kama siyo kuonyesha jinsi usivyofahamu kile unachoandika.
Nyenzo zote za kutafiti, kujifunza na uelewa umepewa lakini kwa uvivu au kutokuelewa kutumia inakufanya uonekane bado uko gizani na hufahamu kile unachokiandika.
Hata kutumia google search engine napo mpaka tukufundishe?.
Akili za kibavicha ni hasara tupu.
Ameisha kugonga vingapi?
Kama mtu akisema Ikulu ipo Ubungo, utakubari? Mimi sio mshabiki bali napenda ukweli. Nakubali Dr. Slaa alikwenda vyuo vikuu, lakini sio vyuo vikuu vikubwa marekani. Kila City marekani kuna Uwanja wa ndege, kitendo cha kusema uwanja wa ndege wa marekani ni uvumi. Dr. Slaa ameacha gumzo, speech aliyoitoa, inaweza kubadilisha msimamo wa Marekani kwa CCM. He is geniusLike yours......ptuuuuu