Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,948
Na mtajinyonga sana mwaka huu. Vua hiyo miwani ya kuchomelea vyuma upate kuona the real things we gamba.Ndugu zanguni,
Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?
Kama ni kweli, ni nani aliemchagua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema?
Nawaomba makamanda mjiulize mara mbili kabla hamjaendelea kukisapoti hiki chama kinachojiita cha demokrasia, kwani demokrasia hupatikana kwa uchaguzi huru na wahaki na hapo ndio atakaechaguliwa atakuwa amechaguliwa na watu kwa ajili ya watu sio kuchaguliwa na mtu kwa ajili ya kikundi.
Pamoja na kuwa Chadema ina watu wachache wenye sifa za uongozi lakini naamimi wako zaidi ya wawili ambao ni bora kuliko Slaa ndani ya chama,
TUNDU LISU angefaa zaidi na angekubalika zaidi kuliko Dr lakini tatizo ni kabila lake...
JITAMBUE!
Kamuulize mchungaji...
.....Rambirambi.....
Kamuulize mchungaji
Uniulize nilitoa kiasi gani cha fedha.......hapa London ulichangiwa kiasi gani cha fedha?
Ndugu zanguni,

Uniulize nilitoa kiasi gani cha fedha...
Kwa taarifa yako mimi nilitoa nusu nzima ya huo mchango
...
.....Rambirambi.....
Ndugu zanguni,
Napenda kuwauliza wanajamvi hapa, Hivi Dr alikwenda kusomea Urais Marekani?
Hii rambirambi maanaa yaake nini?? Maana mimi sielewi...na mara nyingi huwa nalikuta kwenye thread zinazomuhusu CRISS LUKOSI.