Ashangedere
Senior Member
- Aug 9, 2010
- 119
- 32
Watu wenye akili za kupewa na mawazo mafupi yasiyozidi urefu wa pua zao utawajua tu.Wengine watasema "Bwagamoyo si mchezo, kiScud ilikuwa kimuondoe mchungaji aliyeondolewa kundini, bahati yake kimemkuta bado anao upako"
But I would say probably it is the weight of the ensuing campaign on his mind.
Watu wenye akili za kupewa na mawazo mafupi yasiyozidi urefu wa pua zao utawajua tu.
utabiri wa Sheh Yahya kutimia.kwanini asiende CHADEMA hosp?
una akili sana pamoja na ccm kutawala kwenye media lakini chadema wanazitumia hizo hizo media za ccm bila wao kujua, mfano mtu mfupi kwenye kundi la watu atafanya vituko vya ajabu ajabu ili ku draw attention ya watu kuwa na yeye yupo.lakini hii picha ya Tanzania daima nimeipenda sana
chadema wamejiandaa kwa negative campaigns za ccm