kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 116
mbona umeacha paragrafu yenye topik yangu acha ushabk kwenye mambo ya msingi hv dk kukubali kuwa kukamata visu kwenye mkutano wa bavicha ni aibu na wamezidiwa na uvccm ambao visu havikwepo mkutanoni wewe nini hauamn hapo?
Binafsi sikujua kwa nini muandishi wa habari wa mwananchi aliamua kutumia heading hiyo ya Dr Slaa kuchafua hali ya hewa wakati alichokiandika ni tofauti kabisa. All along nilidhani mwananchi ni gazeti lenye hadhi na halihitaji kuweka heading za kuuza gazeti. Dr Slaa hajachafua hali ya hewa wala nini, ni upuuzi kiuandishi kutumai heading kama hiyo wakati maudhui ni tofauti. Siasa za bongo bana loh ufisadi kila kona
dr slaa is going kuzimu kwa uongo, poleni ccm mnaochukiwa na wananchi, kwani slaa akizusha tu watu wanaamini, looooooooooo ndio namjua slaa sasa...kile kisu kilikuwa cha jmaa anaitwa rafiki, anasoma udom, alikuwa kampeni meneja wa heche, sabura mlinzi akamuomba, tukashangaa kinatangazwa mezani, kumbe wajumbe walikuwa na hasra juu ya yeye, akaona hiyo ndio njia ya kuwafanya wapiga kura waondoe imani kwa akina nyakarungu, saanane na mwapamba....kama walinzi wao walimkamata huyo mweney kisu yuko wapi na amefikishwa kituo gani cha polisi, slaa umekwisha kabisaa na ole wako siku watanzania wa kawaida wakigundua mambo ya uzushi wako utakwisha.
Rekebisha kwanza jinsia yako.Mbowe ndiye chanzo cha uharibifu wa yaliyotokea juzi bavicha, kwani leo amempigia kijana joshua wa arumeru mashariki akimponeza kwa kazi nzuri aliyoifanya bavicha, huyu joshua ndiye alikuwa anasambaza pesa kwenye guest walizolala wajumbe na kuwasomba kwa gari asubuhi kwenda eneo la mkutano,.
Mbowe anahitaji kuwa mgombea wa urais 2015 kwa hilo amekwama na hatofanikiwa kuwa raisi wa nchi hii,
nawapongeza hao vijana 3, walioenguliwa......mwapamba, benard saanane na greyson kwa ukomavu wao, kwani angetolewa heche naamini ugomvi mkubwa ungezuka, na hata leo nilitegemea wataanza kutoa maneno mabaya dhidi ya uonevu na uvunjaji wa demokrasia uliotokea kwa ushurutishi wa mbowe akihofia vijana hawa.
Badala ya kuicha huru iliyo huru yeye anawaza uraisi tu, hata akafikia hatua ya uwachafua akina saanane na greyson eti ni vibaraka wa ccm...hii ni aibu kabisa kwa mtu kama mbowe kuwazushia vijana hawa mambo ya kizushi hivi.
Naomba hawa vijana wawe wapole tu na matunda ya uvumilivu wao yataonekana baadae, sasa nagundua kwa nn mbowe alikuwa mkali kuona shibuda ndiye kaimu mwenyekti shinyanga.
Yaani nanyi slaa na tumbo na mrema chungeni domo zenu,....kwani vijana hawa kama waliweza kuwaporomosha na kuwashinda dimbani, hadi mkaamua kuteua tu mwenyekti viti maalum, basi ujue kuwa wakiamua kuwalipua sijui kama mtakuwa shwari.........fungeni domo zenu, au muwaite sisimizi kama kafulila tuone basi.
Haki gani mtadai ikwa mnafanya wehu hivyo, uadilifu gani ikiwa dr slaa n muongo na mzushi hivyo?.........
Kaa chonjo huwezi kuwa mwenyekti tena ww mbowe na uraisi huna tena, au fanya mpango uwaue kabla ya hawajakupindua mbowe.
Kama baba mkwe wako alianzisha chama kwa malengo finyu ya kupata utajiri, basi ndoo yake imeharibika kwani sasa watz wanakiaminia cdm siriasi na watakinyoosha tu
Rekebisha kwanza jinsia yako.
Mbowe ndiye chanzo cha uharibifu wa yaliyotokea juzi bavicha, kwani leo amempigia kijana joshua wa arumeru mashariki akimponeza kwa kazi nzuri aliyoifanya bavicha, huyu joshua ndiye alikuwa anasambaza pesa kwenye guest walizolala wajumbe na kuwasomba kwa gari asubuhi kwenda eneo la mkutano,.
Mbowe anahitaji kuwa mgombea wa urais 2015 kwa hilo amekwama na hatofanikiwa kuwa raisi wa nchi hii,
nawapongeza hao vijana 3, walioenguliwa......mwapamba, benard saanane na greyson kwa ukomavu wao, kwani angetolewa heche naamini ugomvi mkubwa ungezuka, na hata leo nilitegemea wataanza kutoa maneno mabaya dhidi ya uonevu na uvunjaji wa demokrasia uliotokea kwa ushurutishi wa mbowe akihofia vijana hawa.
Badala ya kuicha huru iliyo huru yeye anawaza uraisi tu, hata akafikia hatua ya uwachafua akina saanane na greyson eti ni vibaraka wa ccm...hii ni aibu kabisa kwa mtu kama mbowe kuwazushia vijana hawa mambo ya kizushi hivi.
Naomba hawa vijana wawe wapole tu na matunda ya uvumilivu wao yataonekana baadae, sasa nagundua kwa nn mbowe alikuwa mkali kuona shibuda ndiye kaimu mwenyekti shinyanga.
Yaani nanyi slaa na tumbo na mrema chungeni domo zenu,....kwani vijana hawa kama waliweza kuwaporomosha na kuwashinda dimbani, hadi mkaamua kuteua tu mwenyekti viti maalum, basi ujue kuwa wakiamua kuwalipua sijui kama mtakuwa shwari.........fungeni domo zenu, au muwaite sisimizi kama kafulila tuone basi.
Haki gani mtadai ikwa mnafanya wehu hivyo, uadilifu gani ikiwa dr slaa n muongo na mzushi hivyo?.........
Kaa chonjo huwezi kuwa mwenyekti tena ww mbowe na uraisi huna tena, au fanya mpango uwaue kabla ya hawajakupindua mbowe.
Kama baba mkwe wako alianzisha chama kwa malengo finyu ya kupata utajiri, basi ndoo yake imeharibika kwani sasa watz wanakiaminia cdm siriasi na watakinyoosha tu
MIMI KAMA MWANADADA NILIUMIA SANA KUONA HAKUNA HAKI YA DEMOKRASIA, NA NILIAMUA KUONDOKA JAPO NILIKUWA NAMPIGIA KAMPENI HECHE USIKU HATUKULALA ILA NIKASHANGAA KUSIKIA ETI YEYE HAJAFANYA KAMPENI KABLA YA MUDA.
HAPO NIKAGUNDUA HAKUNA HAKI CDM, YANI ASUBUHI TU TULIGUUNDUA TUVIJANA HUTU TUMEMPIGA HECHE VIBAYA SANA, ILA SAsa nikakosa uvumilivu kuona uonevvu wote wa wazi na kijinga unafanyika.
Leo nimesoma kwenye gazeti la mwananchi kuna habari eti dk slaa amechafua uchaguzi mkuu wa Baraza la vijana la Chadema.
habari hiyo imeandikwa kwa urefu katika gazeti la mwananchi. hii mara ya 2 baada ya kila uchaguzi mkuu wa cdm. mara ya 1 nafasi ya mwenyekiti. kambi ya upinzani bungeni, hata mwaka jana uchaguzi mkuu wa Cdm
gazeti la mwananchia ambalo inasemekana mmoja wa kiongozi mkuu wa CDM mh Mwepesi kuwa na nguvu kama vile baadhi ya magazeti kama mtanzania na rai yanavoshtumiwa kutumiwa na .
wamiliki wake.
Matukio mengi yanahusu Mh Mwepesi huandikwa katika gazeti hilo kwa urefu na hupangwa kwa ustadi mkubwa
JEE KWELI KUNA TOFAUTI GANI KATI YA MTANZANIA NA MWANANCHI
SOMA HII
Dk Slaa achafua hewa uchaguzi Chadema Send to a friend Sunday, 29 May 2011 22:24 digg
Geofrey Nyangoro
BARAZA la Vijana la Chadema (Bavicha), limepata viongozi wapya katika uchaguzi uliotawaliwa na mizengwe na vurugu zilizotishia usalama wa wapigakura.Habari zilizolifikia gazeti hili jana zilieleza kuwa, vurugu hizo zilichochewa na kitendo cha Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa kuonyesha visu alivyodai kuwa vilikamatwa na walinzi wa chama hicho jana asubuhi.
Mbali na kuonyesha visu kadhaa, Dk Slaa alitangaza kuenguliwa kwa wagombea watatu wa nafasi ya uenyekiti; Bernard Saanane, Greyson Nyakarungu na Mtela Mwampamba kwa madai ya ukiukaji wa maadili.
Dk Slaa aliwaeleza wapigakura kuwa kamati ya ulinzi ya chama hicho pia ilibaini kuwapo kwa mabaunsa waliodaiwa kupandikizwa katika mkutano huo kwa lengo la kuuvuruga.Alisema watu hao waliletwa na baadhi ya wagombea wa nafasi za uongozi ambao kimsingi chama hicho kilikuwa kimebaini kuwa ni mamluki waliopandikizwa kwa lengo la kuvuruga uchaguzi huo. Kuhusu wagombea walioenguliwa, Dk Slaa alidai kuwa kuondolewa kwao kumetokana na kukiuka maadili.
Baadhi yao ndani ya mkutano huo walionyesha huzuni kutokana na uamuzi huo uliodaiwa kuwa ni mgumu kuwahi kufanyika katika vyama vya siasa.Ingawa chama kinasema kimechukua hatua hiyo kwa malengo mahususi, mimi bado ninapata shaka kama kweli hakuna mgombea ambaye hajafanya kampeni kabla ya wakati, alisema mjumbe mmoja kwa sharti la kutotajwa gazetini.
Hata hivyo, matokea ya uchaguzi huo yaliyotangazwa saa 12 asubuhi jana na Dk Slaa baada ya kukamilika kwa shughuli ya kuhesabu kura iliyofanyika usiku kucha. Akitangaza uamuzi huo uliochafua hali ya hewa ndani ya ukumbi wa mkutano saa tano usiku juzi, Dk Slaa alisema uamuzi huo ulifikiwa na kamati ya uchaguzi iliyoundwa na watu sita ikiongozwa na yeye.Akifafanua sababu za kuenguliwa kwa wagombea hao, Dk Slaa alisema inatokana na wao kujihusisha na vitendo vya ukiukaji wa maadili ya chama hicho kwa kupiga kampeni kabla ya muda uliopangwa.
Nafasi mnayowania ni kubwa na ina umuhimu wake kwa taifa. Kwa kuwa sisi sera yetu kubwa ni kupinga vitendo vya ufisadi na kusimamia maadili hatuwezi hata siku moja kuruhusu vitendo vya ukiukwaji wa maadili kufanyika ndani ya chama chetu,alisema Dk Slaa na kuongeza:
Tulikubaliana kuwa kampeni zitapigwa ndani ya ukumbi wa mkutano, lakini wapo wagombea wamekiuka agizo hilo na kupiga kampeni kabla ya muda. Tunao ushahidi kuwa wapo waliofanya hivyo katika maeneo ya Kinondoni, Manzese na hata jana (juzi) makao makuu,alisema Dk Slaa.
Chadema imara
Alisema Chadema siyo chama cha makundi bali ni cha watu wote chenye dhamira ya kulikomboa taifa na kusisitiza kuwa kitaendelea kuchukua hatua kila kinapobaini kuna sababu za kufanya hivyo.
Kwa mujibu wa Dk, Saanane alitajwa na wajumbe wanane wa mkutano huo kuhusika na vikao vya siri, mara nane katika kukigawa chama kimakundi na mara tatu alitajwa kutaka kujitoa baada ya kuingia ukumbini. Mgombea mwingine aliyekuwa na tuhuma kama hizo ni Nyakarungu ambaye naye alitajwa na wajumbe wanane akidaiwa kufanya vikao vya siri mara nane, kukigawa chama katika makundi na mara tatu kuhusika na vitendo vya rushwa.
Kuhusu Mwampamba alisema yeye alikataa tuhuma zote zilizokuwa zimeelekezwa kwake, lakini baadaye alikiri jambo lililofanya kamati hiyo kuona kuwa ni mwongo na hafai kuwa kiongozi. Katibu huyo mkuu alisema Chadema inachukua hatua hizo kwa vitendo ili kuhakikisha inatekeleza kwa vitendo suala la maadili ya viongozi na kupinga kwa nguvu zote vita dhidi ya ufisadi.
Sisi (Chadema) tunajinadi kupambana na vitendo vya ufisadi, sera yetu tunayosimamia ni maadili, katika kutekeleza hilo kwa vitendo ni lazima tuanzie ndani na ndipo tutoke nje,alisema Dk Slaa.
Baada ya maelezo hayo, Dk Slaa alimtangaza John Heche kuwa mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Bavicha baada ya kuwabwaga wapinzani wake watano.
Alisema Heche aliibuka mshindi kwa kura 143 sawa na asilimia 53.6 kati ya kura zote 239 zilizopigwa. Heche alishinda nafasi hiyo ya uenyekiti ambayo ataishika kwa miaka miwili.Awali, ilikuwa ikiongozwa na kamati ya muda chini ya mbunge wa Ubungo, John Mnyika kufuatia kuvunjika kwa mkutano mkuu wa uchaguzi mwaka 2009.
Wagombea wengine wa nafasi ya mwenyekiti waliopambana na Heche ni Aidan Sadick, Bernard Mao, Deogratius Kisandu, Edwin Soko na Masoud Suleman.
Dk Slaa pia aliwatangaza Juliana Shonza kuwa mshindi wa nafasi ya makamu mwenyekiti (Bara) na Sharifa Suleiman Hamisi kwa nafasi hiyo Zanzibar.Walioshinda ujumbe wa baraza kuu ni Edward Kinabo, Frank Fumpa, Zainab Mussa Bakari na Alex Mushi. Uchaguzi huo wa Bavicha umefanyika baada ya kushindikana Septemba mwaka 2010, kufuatia vurugu ambapo uongozi wa Chadema ulilazimika kuusimamisha.
hizo nafasi zina ulaji ndioyo maana mizengwe haiwezi kwisha.
Kishongo;
kila napoona treand yako natamani kusoma.uhalisi wako unanieleza wewe ni mtu wa namna gani.jambo linalinishtua zaidi umekuwa ni m,tu wakutolea chadema taarifa,ni matumaini yangu siku yaja majani yote yatateleza na utakiri kwa mdomo wako kuwa viongozi wa chadema ni makini.
Kulikoni maamuzi kuhusu vijana kufanywa na baraza la wazee?Mimi nilikuwepo ukumbini tena high table mpaka saa kumi na nusu usiku, sijasikia habari ya visu wala vurugu ya aina yo yote. Kila kitu kilikuwa safi. Hoja ya kuondoa baadhi ya wagombea ilipotolewa na dr slaa kwa kusoma katiba na kanuni za chadema wajumbe wote walikubaliana kwa asimia zote. Maamuzi yalifanywa na baraza la wazee. Wachangiaji tuwe wakweli.