Dr. Slaa aingilia kati Uchaguzi wa BAVICHA; Magazeti yalalamika

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Wakuu ni jambo la wazi kabisa kwamba tuna tatizo kubwa kabisa kuhusu uchaguzi kwenye jamii yetu. Huu mjadala ni above party politics, nadhani ni muda muafaka tujadili hili suala.

Kama tunakumbuka uchaguzi wa UWT (CCM) ulikuwa na mizengwe, Uchaguzi wa UVCCM mizengwe, Uchaguzi jumuiya ya wazazi CCM mizengwe, primaries za CCM mizengwe. Haya uchaguzi wa BAVICHA mizengwe mpaka ukaahirishwa, umerudiwa tena mizengwe. Uchaguzi mkuu 2010 mizengwe, Uchaguzi meya wa Arusha mizengwe. Chaguzi za maaskofu na madhehebu mbalimbali mizengwe. Chaguzi za maraisi wa vyuo mizengwer. Tuna tatizo gani???????? Je Inamaanisha watanzania bado ni wachanga wa demokrasia au hatujui kupangilia chaguzi, je ni rushwa nadhani suala hili linahitaji mjadala mpana na ikiwezekana lianishwe vizuri ndani ya katiba mpya.

Haiwezekani kila baada ya uchaguzi lazima kuwe na manung'uniko, kulalama na kutoridhika kwa baadhi ya washiriki. Si dhumuni langu kubariki mbinu chafu na ununuzi wa demokrasia lakini nafikiri kama taifa we need to do something on this now!!!! Narudia tena kusema tusilijadili hili katika misingi ya vyama, itikadi, dini, kabila or any identity, tujadili kama watanzania na focus iwe kwenye a true and permanent solution.

Nawakilisha!
 
Mie nakubaliana na wewe, kwamba wengi tunafikiri tatizo ni ccm, lakini hata leo ikiondoka tutashangaa pia. Tatizo ni wa Tanzania
 
Leo nimesoma kwenye gazeti la mwananchi kuna habari eti dk slaa amechafua uchaguzi mkuu wa Baraza la vijana la Chadema.
habari hiyo imeandikwa kwa urefu katika gazeti la mwananchi. hii mara ya 2 baada ya kila uchaguzi mkuu wa cdm. mara ya 1 nafasi ya mwenyekiti. kambi ya upinzani bungeni, hata mwaka jana uchaguzi mkuu wa Cdm
gazeti la mwananchia ambalo inasemekana mmoja wa kiongozi mkuu wa CDM mh Mwepesi kuwa na nguvu kama vile baadhi ya magazeti kama mtanzania na rai yanavoshtumiwa kutumiwa na .
wamiliki wake.
Matukio mengi yanahusu Mh Mwepesi huandikwa katika gazeti hilo kwa urefu na hupangwa kwa ustadi mkubwa

Binafsi sikujua kwa nini muandishi wa habari wa mwananchi aliamua kutumia heading hiyo ya Dr Slaa kuchafua hali ya hewa wakati alichokiandika ni tofauti kabisa. All along nilidhani mwananchi ni gazeti lenye hadhi na halihitaji kuweka heading za kuuza gazeti. Dr Slaa hajachafua hali ya hewa wala nini, ni upuuzi kiuandishi kutumai heading kama hiyo wakati maudhui ni tofauti. Siasa za bongo bana loh ufisadi kila kona
 
Dikteta Saanane kaondolewa kabla ya kuingia kwenye kura.tumekaa tukafurahi,AENDE AKAGOMBEE UENYEKITI WA VIJANA WA ODM KENYA.AKAMSAIDIE KIPENZI CHAKE RAILA ODINGA.HECHE KUWA MAKINI NA HUYU ATAKUPINDUA.Hakikisha mnamdhibiti kweli kweli​
 
BARAZA la Vijana la Chadema (Bavicha), limepata viongozi wapya katika uchaguzi uliotawaliwa na mizengwe na vurugu zilizotishia usalama wa wapigakura.Habari zilizolifikia gazeti hili jana zilieleza kuwa, vurugu hizo zilichochewa na kitendo cha Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa kuonyesha visu alivyodai kuwa vilikamatwa na walinzi wa chama hicho jana asubuhi. Mbali na kuonyesha visu kadhaa, Dk Slaa alitangaza kuenguliwa kwa wagombea watatu wa nafasi ya uenyekiti; Bernard Saanane, Greyson Nyakarungu na Mtela Mwampamba kwa madai ya ukiukaji wa maadili.

Inakuwaje tena watu wanakuja na VISU!!!!!!!!
 
Mimi nilikuwepo ukumbini tena high table mpaka saa kumi na nusu usiku, sijasikia habari ya visu wala vurugu ya aina yo yote. Kila kitu kilikuwa safi. Hoja ya kuondoa baadhi ya wagombea ilipotolewa na dr slaa kwa kusoma katiba na kanuni za chadema wajumbe wote walikubaliana kwa asimia zote. Maamuzi yalifanywa na baraza la wazee. Wachangiaji tuwe wakweli.
 
Si vyema kuuonyesha ubabaishaji wako hadharani, kichwa cha habari yako hakiendani na kilichomo ndani ya kithibitisho ulichotoa. Mfano; Zito anahusika vipi sasa na mambo yaliyojitokeza?
Acha ubabaishaji si lazima kuanzisha mjadala kwasababu tu una accass ya internet.
 
Mie nakubaliana na wewe, kwamba wengi tunafikiri tatizo ni ccm, lakini hata leo ikiondoka tutashangaa pia. Tatizo ni wa Tanzania

That is true mkuu yaani sijawahi kusikia chaguzi bongo hata zile za kidini bila mizengwe, tu watu wa aina gani sisi?
 
Mie nakubaliana na wewe, kwamba wengi tunafikiri tatizo ni ccm, lakini hata leo ikiondoka tutashangaa pia. Tatizo ni wa Tanzania
ccm inahusika sana na bahati mbaya ccm wanataka kila chaguzi waingize watu wao MKUU CCM HADI MAKANISANI NA MISIKITINI IMEINGIA IKIFA CCM NCHI ITAPONA HII!
 
ccm inahusika sana na bahati mbaya ccm wanataka kila chaguzi waingize watu wao MKUU CCM HADI MAKANISANI NA MISIKITINI IMEINGIA IKIFA CCM NCHI ITAPONA HII!

Una uhakika na hili mkuu, vipi kuhusu chaguzi za vyuo vikuu, chaguzi za kikabila, koo inawezekana hata mamonitor siku hizi kuna mizengwe unless kama bado ni uteuzi na si uchaguzi. Tusilionee aibu tatizo let's face it!
 
hongera wazee chadema kwa kumuondoa Dikteta saanane, wazee mfundeni heche awe kiongozi mzuri.Kuwa na kiongozi mtata ni tatizo sana ndani ya chama.

Ila jitahidini muuwe sumu ya akina Saanane kwa vijana
 
hongera wazee chadema kwa kumuondoa Dikteta saanane, wazee mfundeni heche awe kiongozi mzuri.Kuwa na kiongozi mtata ni tatizo sana ndani ya chama.Ila jitahidini muuwe sumu ya akina Saanane kwa vijana,nimehojiana na baadhi ya vijana inaonekana Heche kawekwa na wazee,hako kajamaa kanaonekana bado sumu yake kwa vijana haijaondoka
 
Maamuzi mazito na magumu ni kazi ya makatibu wachache sana,na majasiri kama Dk. Slaa. Wengine wanaofanana naye labda n kama Mao Tsetung,Gandhi na Linkolin!This iz a born leader ayse,no doubt. Prove me wrong with evidence.
 
Back
Top Bottom