Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameshtushwa na Ikulu ya Tanzania kuwalinda wezi wa kashfa ya Escrow ikiwa ni zaidi ya wiki moja tangu Bunge lipitishe hoja ya kuwafukuza mawaziri wawili na mwanasheria mkuu wa Serikali.
Akihutubia Mkutano wa hadhara katika viwanja vya Manzese Tip Top jijini DSM kiongozi huyo kipenzi cha watanzania amelaani hatua ya kupuuza maamuzi ya bunge hadi sasa.
Dr Slaa anayeombwa na watanzania wengi kugombea Urais mwakani ameonya vikali tabia ya watu kukimbilia Ikulu kwa maslahi yao.
Dr Slaa amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutoka hadharani kupinga maneno yake kama kweli Ikulu haiwalindi wezi wa Escrow.
Dr Slaa ambaye amekuwa kinara mkuu wa kupigia kelele wizi wa kashfa ya Escrow nje ya Bunge ameonya watanzania wasiichague CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa bali wachague wagombea wa UKAWA

Kiongozi huyo mwenye msimamo mkali dhidi ya wezi wa mali ya Umma ameshangazwa na jeuri ya mawaziri Sospeter Muhongo na Anna Tibaijuka waliokula kiapo cha kukataa kujiuzulu huku Rais akikaa kimya bila kuwafukuza mara moja.

Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.
Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa yachademaa.[/QUOTE
kingunge mganga wa kienyeji ccm.na Dk slaa nani kibabu?
a cha uongo wa mchana ccm imejaa vibabu kibao tukiorodhesha humus thread inajaa mfano
"Anaetakwa na watanzania agombee urais" vioja vya mmarangu Molemo haviishi.
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.
Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.
ndicho hicho kilichomtoa babu kutoka mtaa wa ufipa kwenda kuwaeleza wananchi?.
Hii ni dharau kwa wananchi walioenda kumsikiliza.
Hana ajenda kwa sasa kilichobaki ni kudandia dandia ajenda.
Kwa hiyo anawaambia waichague chadema kwa sababu rais kikwete hajatengua uteuzi wa baadhi ya mawaziri.
Kwa hiyo rais kikwete akitengua ndiyo wasiichague chadema.
Hoja za kitoto.
Kuna wengine wakizeeka wanazeeka, pia na hekima na busara zao.
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.
Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.
Mke akifurahishwa na bwana ake usiku, akikutana na mashoga zake lazima amsifie kama unavyoona kwenye haya maelezo meengi ya mkuu molemoKatibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameshtushwa na Ikulu ya Tanzania kuwalinda wezi wa kashfa ya Escrow ikiwa ni zaidi ya wiki moja tangu Bunge lipitishe hoja ya kuwafukuza mawaziri wawili na mwanasheria mkuu wa Serikali.
Akihutubia Mkutano wa hadhara katika viwanja vya Manzese Tip Top jijini DSM kiongozi huyo kipenzi cha watanzania amelaani hatua ya kupuuza maamuzi ya bunge hadi sasa.
Kiongozi huyo mwenye msimamo mkali dhidi ya wezi wa mali ya Umma ameshangazwa na jeuri ya mawaziri Sospeter Muhongo na Anna Tibaijuka waliokula kiapo cha kukataa kujiuzulu huku Rais akikaa kimya bila kuwafukuza mara moja.
Dr Slaa anayeombwa na watanzania wengi kugombea Urais mwakani ameonya vikali tabia ya watu kukimbilia Ikulu kwa maslahi yao.
Dr Slaa amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutoka hadharani kupinga maneno yake kama kweli Ikulu haiwalindi wezi wa Escrow.
Dr Slaa ambaye amekuwa kinara mkuu wa kupigia kelele wizi wa kashfa ya Escrow nje ya Bunge ameonya watanzania wasiichague CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa bali wachague wagombea wa UKAWA
Du nimekuja speed nikajua ameipiga bomu kama walivyo jilipua Arusha kumbe story zenyewe za Shigongo dah.
Ndicho hicho kilichomtoa babu kutoka mtaa wa Ufipa kwenda kuwaeleza wananchi?.
Hii ni dharau kwa wananchi walioenda kumsikiliza.
Hana ajenda kwa sasa kilichobaki ni kudandia dandia ajenda.
Kwa hiyo anawaambia waichague CHADEMA kwa sababu Rais Kikwete hajatengua uteuzi wa baadhi ya mawaziri.
Kwa hiyo Rais Kikwete akitengua ndiyo wasiichague CHADEMA.