Na hii VETA ni taasisi ya umma. Sasa siku tukiwaondoa CCM sijui mameneja wa aina hii watajificha wapi. Na watu wa aina hii wako wengi sana. Tunao kina Mwema polisi, kina Zoka idara ya usalama...Duh, that's too bad for the hotel manager! Atakuwa mnazi wa CCM.
jamaa hana skills za biashara...Inaonesha jamaa haendeshi biashara zake kihalari km yule mzee wa zamani alivyokuwa anawatishia wafanyabiashara kwa kusema ukitaka biashara zako ziende vizuri support ccm..........huyu atapata anachotafuta kwa kumdhalilisha rais wetu mtarajiwa