Huku Chadema ikiteka kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga tayari hujuma zimeanza kuonekana mapema leo
Watu wasiojulikana wametega misumari barabarani katika njia ya kuelekea eneo la Mwasa muda mfupi kabla msafara wa Dr Slaa na mgombea ubunge kupita eneo hilo.
Hata hivyo Dr Slaa amechelewa kumaliza mkutano eneo la kwanza hivyo kuchelewa kupita muda ambao wategaji wameweka mtego wao.
Kutokana na sababu hiyo gari nyingine iliyopita njia hiyo imeharibika kabisa matairi yake baada ya kukanyaga misumari hiyo iliyotegeshwa barabarani.
Source Tumaini Makene Afisa Habari Mkuu Chadema.

Last edited by a moderator: