Molemo unamatatizo hujuma ziko wapi sasa hapa ni utashi wa mtu atakayependa siasa ataenda kwenye siasa anayependa mpira ataenda mpirani tatizo liko wapi hapo.Huku kukiwa na shamrashamra na nderemo Iramba Magharibi kusubiri ujio wa kihistoria wa Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa siku ya Jumamosi tayari hujuma zimeanza dhidi ya ziara hiyo.
Dr Slaa anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa sana wa hadhara jimboni Iramba Magharibi siku ya Jumamosi kwa lengo la kukusanya maoni ya wananchi katika mabaraza ya Katiba ya Chadema.
Taarifa kutoka Iramba zinasema katika hali ya kutapatapa kudhibiti watu wasihudhurie mkutano huo,mbunge wa jimbo hilo Mwigulu Nchemba amealika timu ya Simba ya Dar es Salaam kumenyana na timu ya Polisi Jamii ya hapo Iramba kwa mechi ya kirafiki.Mechi hiyo itafanyika eneo jirani na muda huo huo atakaohutubia Dr Slaa.
Katibu mkuu huyo anatarajiwa kuwasili jimboni humo akitumia helikopta na maelfu ya watu wamejiandaa kumlaki na kutoa maoni yao ya Katiba mpya.
Kuna uhamasishaji mkubwa wa Chadema unafanyika hapa kumsikiliza Katibu Mkuu huyo ambaye kwa sasa ni kipenzi kikubwa cha watanzania.
Hata wewe na slaa mtakufa hakuna ambaye hatakufa huko ni kujidanganya.huyo ndio mwiguru mchumi no 1..
kila kitu kina mwanzo na mwisho.. kama mwiguru amezaliwa basi atakufa tu...
Wairamba wenyewe ni watu na akili zao kwa hiyo watachagua ni kipi cha muhimu, burudani ya dakika 90 au hatma ya maisha yao na vizazi vyao kwa miaka miiiiingi ijayo. Kupanga ni kuchagua!Huku kukiwa na shamrashamra na nderemo Iramba Magharibi kusubiri ujio wa kihistoria wa Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa siku ya Jumamosi tayari hujuma zimeanza dhidi ya ziara hiyo.
Dr Slaa anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa sana wa hadhara jimboni Iramba Magharibi siku ya Jumamosi kwa lengo la kukusanya maoni ya wananchi katika mabaraza ya Katiba ya Chadema.
Taarifa kutoka Iramba zinasema katika hali ya kutapatapa kudhibiti watu wasihudhurie mkutano huo,mbunge wa jimbo hilo Mwigulu Nchemba amealika timu ya Simba ya Dar es Salaam kumenyana na timu ya Polisi Jamii ya hapo Iramba kwa mechi ya kirafiki.Mechi hiyo itafanyika eneo jirani na muda huo huo atakaohutubia Dr Slaa.
Katibu mkuu huyo anatarajiwa kuwasili jimboni humo akitumia helikopta na maelfu ya watu wamejiandaa kumlaki na kutoa maoni yao ya Katiba mpya.
Kuna uhamasishaji mkubwa wa Chadema unafanyika hapa kumsikiliza Katibu Mkuu huyo ambaye kwa sasa ni kipenzi kikubwa cha watanzania.
Molemo unamatatizo hujuma ziko wapi sasa hapa ni utashi wa mtu atakayependa siasa ataenda kwenye siasa anayependa mpira ataenda mpirani tatizo liko wapi hapo.
kama simba wameshapewa mgao wao waende lakini kama wanategemea mapato ya mlangoni wajue watapata hasara kubwa maana Dct Slaa kwa sasa ni zaidi ya simba na yangaHuku kukiwa na shamrashamra na nderemo Iramba Magharibi kusubiri ujio wa kihistoria wa Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa siku ya Jumamosi tayari hujuma zimeanza dhidi ya ziara hiyo.
Dr Slaa anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa sana wa hadhara jimboni Iramba Magharibi siku ya Jumamosi kwa lengo la kukusanya maoni ya wananchi katika mabaraza ya Katiba ya Chadema.
Taarifa kutoka Iramba zinasema katika hali ya kutapatapa kudhibiti watu wasihudhurie mkutano huo,mbunge wa jimbo hilo Mwigulu Nchemba amealika timu ya Simba ya Dar es Salaam kumenyana na timu ya Polisi Jamii ya hapo Iramba kwa mechi ya kirafiki.Mechi hiyo itafanyika eneo jirani na muda huo huo atakaohutubia Dr Slaa.
Katibu mkuu huyo anatarajiwa kuwasili jimboni humo akitumia helikopta na maelfu ya watu wamejiandaa kumlaki na kutoa maoni yao ya Katiba mpya.
Kuna uhamasishaji mkubwa wa Chadema unafanyika hapa kumsikiliza Katibu Mkuu huyo ambaye kwa sasa ni kipenzi kikubwa cha watanzania.
Huyu Molemo nae ni wa kupuuzwa, sasa hapo hujuma ipo wapi?
Watu waache kuburudika kwa sababu ya Dr Slaa?
Kama ikitokea wananchi wamependezwa na ujio wa Dr Slaa, basi waende wakamsikilize.
Mwisho wa haki yako, mwanzo wa haki ya mwingine. Simple.