tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 26,021 Reaction score 25,428 Jan 6, 2020 #21 Du Mungu amponye haraka Tajiri wa Taifa, Dr Luois Shika Kid. Amen. Sent using Jamii Forums mobile app
Du Mungu amponye haraka Tajiri wa Taifa, Dr Luois Shika Kid. Amen. Sent using Jamii Forums mobile app
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 26,021 Reaction score 25,428 Jan 6, 2020 #22 Hata mm nashindwa kuelewa kwanini huyu mkabila, mkanda na mdini bado hajaenda kumuona mkabila mwenzake. KISIWAGA said: Najiuliza mpaka sasa kwa nini Jiwe hajaenda kumuona msukuma na PhD holder mwenzake Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm nashindwa kuelewa kwanini huyu mkabila, mkanda na mdini bado hajaenda kumuona mkabila mwenzake. KISIWAGA said: Najiuliza mpaka sasa kwa nini Jiwe hajaenda kumuona msukuma na PhD holder mwenzake Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Ambition plus JF-Expert Member Joined Feb 23, 2018 Posts 6,403 Reaction score 12,020 Jan 6, 2020 #23 Get well soon mzee Sent using Jamii Forums mobile app
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 26,021 Reaction score 25,428 Jan 6, 2020 #24 Tukumbuke pia umri wake umeenda sana. Daudi Mchambuzi said: hayo mashavu yalivyovimba namna hiyo lazima kuna shida mahala Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Tukumbuke pia umri wake umeenda sana. Daudi Mchambuzi said: hayo mashavu yalivyovimba namna hiyo lazima kuna shida mahala Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 26,021 Reaction score 25,428 Jan 6, 2020 #25 Kuna matapeli fulani walikuwa wanamtumia kwenye matangazo na kumlipa peanut money wamepotelea wapi? KISIWAGA said: Tatizo hata tukimchangia pesa atazituma kwa matapeli wanaomdanganya watamletea mabilioni yake ya huko Urusi Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna matapeli fulani walikuwa wanamtumia kwenye matangazo na kumlipa peanut money wamepotelea wapi? KISIWAGA said: Tatizo hata tukimchangia pesa atazituma kwa matapeli wanaomdanganya watamletea mabilioni yake ya huko Urusi Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,534 Reaction score 81,267 Jan 6, 2020 #26 Mungu amfanyie wepesi daktari Shika.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,296 Reaction score 96,549 Jan 6, 2020 #27 MKWEPA KODI said: Ni mhaya Click to expand... hapana
D donga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 2,560 Reaction score 5,235 Jan 6, 2020 #28 ivi mzee mchele wake bado haujaingia nchini
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 26,021 Reaction score 25,428 Jan 6, 2020 #29 Yaani daktari mkubwa kama huyu serikali wanashindwaje kumhudumia? Ni aibu kubwa sana kwa serikali ya Magufuli. Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani daktari mkubwa kama huyu serikali wanashindwaje kumhudumia? Ni aibu kubwa sana kwa serikali ya Magufuli. Sent using Jamii Forums mobile app
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,396 Reaction score 103,821 Jan 6, 2020 #30 KISIWAGA said: Hawajaweka wazi lakini kama kweli alikuwa analala kama tunavyosikia lazima awe na maladhi mengi sana mwilini mwake Click to expand... Maradhi.
KISIWAGA said: Hawajaweka wazi lakini kama kweli alikuwa analala kama tunavyosikia lazima awe na maladhi mengi sana mwilini mwake Click to expand... Maradhi.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,396 Reaction score 103,821 Jan 6, 2020 #31 Shika yumo humu 900 Inapendeza zaidi
frama Senior Member Joined Aug 6, 2014 Posts 150 Reaction score 138 Jan 6, 2020 #32 KISIWAGA said: Tatizo hata tukimchangia pesa atazituma kwa matapeli wanaomdanganya watamletea mabilioni yake ya huko Urusi Click to expand... Yeye mwenyewe tapeli
KISIWAGA said: Tatizo hata tukimchangia pesa atazituma kwa matapeli wanaomdanganya watamletea mabilioni yake ya huko Urusi Click to expand... Yeye mwenyewe tapeli
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 26,021 Reaction score 25,428 Jan 6, 2020 #33 Huyu ni daktari bingwa wa binadamu lakini serikali wanashindwa kumtumia. NYOTIENO JARIEKO said: Mkuu ni kweli alikuwa na mabilioni urusi ? ,Ni Dr wa kutibu binadamu ?,naomba uniambie coz naona tu comedy . Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni daktari bingwa wa binadamu lakini serikali wanashindwa kumtumia. NYOTIENO JARIEKO said: Mkuu ni kweli alikuwa na mabilioni urusi ? ,Ni Dr wa kutibu binadamu ?,naomba uniambie coz naona tu comedy . Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Amazon Woman JF-Expert Member Joined Aug 24, 2016 Posts 796 Reaction score 1,190 Jan 6, 2020 #34 Aisee Sent using Jamii Forums mobile app
mpimamstaafu JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 4,445 Reaction score 4,712 Jan 6, 2020 #35 KISIWAGA said: Taarifa zilizopo mpaka sasa ni kuwa Dr. Shika mzee wa mabilioni yuko hoi kitandani hawezi hata kuzungumza Click to expand... Mzee ana Wadhifa gani katika Taifa hili? Sent using Jamii Forums mobile app
KISIWAGA said: Taarifa zilizopo mpaka sasa ni kuwa Dr. Shika mzee wa mabilioni yuko hoi kitandani hawezi hata kuzungumza Click to expand... Mzee ana Wadhifa gani katika Taifa hili? Sent using Jamii Forums mobile app
H hmax395 Member Joined Dec 13, 2019 Posts 95 Reaction score 94 Jan 6, 2020 #36 Daudi Mchambuzi said: hayo mashavu yalivyovimba namna hiyo lazima kuna shida mahala Click to expand... Ana ugonjwa wa kiganda damu Sent using Jamii Forums mobile app
Daudi Mchambuzi said: hayo mashavu yalivyovimba namna hiyo lazima kuna shida mahala Click to expand... Ana ugonjwa wa kiganda damu Sent using Jamii Forums mobile app
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,121 Reaction score 14,032 Jan 6, 2020 #37 KISIWAGA said: Najiuliza mpaka sasa kwa nini Jiwe hajaenda kumuona msukuma na PhD holder mwenzake Click to expand... Hivi mbona mnapenda kuleta pigo za kijinga kwenye mambo ya msingi...?
KISIWAGA said: Najiuliza mpaka sasa kwa nini Jiwe hajaenda kumuona msukuma na PhD holder mwenzake Click to expand... Hivi mbona mnapenda kuleta pigo za kijinga kwenye mambo ya msingi...?
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Jan 6, 2020 #38 Halafu jamaa professionally ni daktari kuna jamaa alisoma nae Russia akawa ananisimulia ukatuni wake tangu huko ughaibuni Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu jamaa professionally ni daktari kuna jamaa alisoma nae Russia akawa ananisimulia ukatuni wake tangu huko ughaibuni Sent using Jamii Forums mobile app
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,077 Reaction score 3,419 Jan 6, 2020 #39 Wanasema ujana maji ya moto na fainali ni uzeeni. Sent using Jamii Forums mobile app
Ninja assasin JF-Expert Member Joined Jul 2, 2018 Posts 2,983 Reaction score 6,784 Jan 6, 2020 #40 M'bongo said: Click to expand... ivi si nilisikiaga ma billion yake ya Russia yalikuja vip alitumbua zote
M'bongo said: Click to expand... ivi si nilisikiaga ma billion yake ya Russia yalikuja vip alitumbua zote