Kama babu wa loliondoNa bado! Huyu Mzee Shika atatushika kweli kweli!!!
Haya weka ukweli unaoujua weweUrongoooooo
Hiyo track inafanana beat na melody na track ya kanye hilson na Ne-Yo.... sitaki kusema wamecopy lakini huenda wakati wanarekodi walikuwa wanaisikilizabrand new audio kutoka kwa rostam (roma na stamina.. KIBAMIA
Nyani NgabuHiyo track inafanana beat na melody na track ya kanye na E.T.... sitaki kusema wamecopy lakini huenda wakati wanarekodi walikuwa wanaisikiliza
Nipo kwenye daladala unanishauri nivae earphone kusikiliza?Wimbo umejaa matusi huu. Haufai kusikiliza mbele ya watu waliokupika rika au umewazidi rika maana utaonekana huna adabu.