Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akimfungisha ndoa Abdalla Hassan Mitawi, mfanyakazi wa kituo cha Televishein Zanzibar aliyemuoa mtoto wake Mwanaharusi Shein, ambaye ni Ofisa Uhusiano wa Benki ya Watu Zanzibar katika sherehe iliyofanyika jana kwenye Msikiti wa Al-Ibrahim Mombasa mjini Zanzibar.
Kama anafungisha ndoa kama wafanyavyo mashekhe, mapadre, wachungaji, nk lazima awe na leseni ya kufanya hivyo. Sina uhakika na Sheria za Zanzibar kuhusu hili.
Unashanga Dr shein kuwa na mamlaka ya kufuganisha ndowa ya mtoto wake ?wacha kufungisha ndowa Anatari watoto wa wakiume na kama wewe hujatahiriwa muombe tu akuondowe mkono wa koti huo.

Bi. harusi Mwanaharusi Shein na bwana harusi Abdalla Mitawi kwenye sherehe yao iliyofanyika tarehe 26/07/2009 zenji ndani ya bwawani hotel . Shoto ni mdogo wa mbwana harusi Aliy Mitawi na kulia ni kaka wa bwana harusi Eddy Mitawi.