Dr Shein: Zanzibar ni ya waafrika na sio waarabu...

Watanganyika naona wamepagawa kwa kauli za Dr. Shein, eti si kauli yake au si maneno yake. Gazeti gani linaweza kuchapisha habari za uwongo za kumsingizia kiongozi wa nchi, hebu jiiulizeni hapo tu. Na kama kiongozi huyo anazuliwa uwongo ni hatua gani huchukuliwa kisheria dhidi ya gazeti husika. Shein na Wazanzibari kwa jumla wamechoshwa na huu muungano wenu hebu tuacheni ili TUPUMUE. Sijui ni lipi hasa munalolitaka kwetu wakati Mungu kakupeni nchi kubwa yenye kila aina ya utajiri lakini bado na kinchi chetu kidogo pia munaking'ang'nia.
 
Watanganyika naona wamepagawa kwa kauli za Dr. Shein, eti si kauli yake au si maneno yake. Gazeti gani linaweza kuchapisha habari za uwongo za kumsingizia kiongozi wa nchi, hebu jiiulizeni hapo tu. Na kama kiongozi huyo anazuliwa uwongo ni hatua gani huchukuliwa kisheria dhidi ya gazeti husika. Shein na Wazanzibari kwa jumla wamechoshwa na huu muungano wenu hebu tuacheni ili TUPUMUE. Sijui ni lipi hasa munalolitaka kwetu wakati Mungu kakupeni nchi kubwa yenye kila aina ya utajiri lakini bado na kinchi chetu kidogo pia munaking'ang'nia.
Umetereza sehemu kwenye uandishi wako. Shein sio rais wa nchi
 




Written by
Makengeza // 23/12/2013 // Habari //



RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema Zanzibar ni nchi iliyo katika bara la Afrika ambayo ilipaswa kujikomboa na kuwa huru ili kujitawala wenyewe na si kuendelea kubaki chini ya utawala wa kikoloni wa Kiingereza na vibaraka wao wa Kiarabu.

Dk. Shein alisema hayo jana katika uwanja wa mpira wa Shule ya Msingi Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati akizindua matembezi ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) katika maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar.


Alisema mapinduzi ya Zanzibar yalifanyika baada ya kushindikana kwa njia ya demokrasia katika chaguzi kuu zilizofanyika mara tatu kuanzia mwaka 1957, 1961 na 1963 kama vile chaguzi za 1995,2000,2005 na 2010 zilivyofanyika na kukipora ushindi chama cha CUF.


Alisema mara zote hizo chama cha CUF kilishinda uchaguzi, lakini wakoloni wa bara wakishirikiana na wazanzibara walikinyima madaraka ya utawala.


“Kushindwa kwa CUF kulitokana na Wazanzibari kufanyiwa hila na mbinu chafu na wakoloni wa bara na hili likifanyika tena 2015 vijana wetu watatumia ujasiri na kumwaga sera ili kuleta ukombozi na uhuru kamili,” alisema..


Aidha, aliwataja wana mapinduzi ya Zanzibar chini ya uongozi wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar hayati Mzee Abeid Amani Karume, na mwanawe Dr Karume, Maalim Seif na mzee Hassan Nassor Moyo kwamba wao na wanachama wao wamekuwa na mshikamano, mapatano na umoja wenye nguvu utakaowasaidia kuwashinda wakoloni wa bara.


“Wamefikwa na majaribu mengi ya kutaka kugawanywa na kufukuzwa kwenye vyama, wameshikamana pamoja, hawatayumba na hawatakukubali kudanganyika ili waendelee kubaki chini ya utawala wa bara, watapata ukombozi unaohitaji kulindwa,” alisema.


Awali, Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka, alisema baada ya chama cha ASP kuchoshwa kutawaliwa, walijenga ushupavu na kuwa zaidi ya silaha zilizouondosha utawala wa kisultani wa Kiomani ambao bado wana tamaa ya kurudi tena kutawala kwa kupitia SOOZA na taasisi nyengine.


Maoni Wasemavyo Wazanzibari Waliohojiwa...


Ghalib 23/12/2013 at 5:56 um · Ingia kujibu
Pimbi hajui nini anaongea.


  1. Makame Ame 24/12/2013 at 5:52 mu · Ingia kujibu
    Jee hii ina maana Cuba ni ya Waamerika, Uingereza ni ya wa Uropa, Maldives na Sri Lanka ni ya Waasia, Japan na Philippines ni ya Waasia, New Zealand ya Waawstralia. Seychelles? Mauritius? Na mifano mingine kemkem.
    Ningependa kutafantiana kimawazo
    Africa ni ya Waafrika regardless
    Zanzibar si ya Waafrika
    ZANZIBAR ni ya WAZANZIBARI regardless




    1. Awami 23/12/2013 at 11:36 um · Ingia kujibu
      Dr sheni anatukumbusha mengi miongoni ya maneno aliyokuwa akiyatumia Julias Borito Nyerere ,Mzee borito Nyerere alikuwa anatumia fulani anapotowa dukuduku lake na yanayomkeza katika dini ya Kisilamu bna waisilamu kwa mfano ,mahali anpotaka kuonesha kuwa dini ya Kisilamu na waisilamu ni watu wabaya hutumia neno warabu lakini anapoendelea zaidi unagunduwa amelenga Uisilamu ,,Dr Shein sio wa mwanzo na hatokuwa wa mwisho kuna viongozi wanao sadiki kusema warabu wabaya wameleta biasha ya utumwa ,wamefanya hivi na vile wabaya sana lakini cha kushangaza ukiwauliza sasa hivi hawa watu ni wabaya na wameleta mambo mabaya inakuwaje umekubaliana na Dini walio ileta ?na kwanini usifanye uwamuzi wa kuondokana nayo kuna mambo magumu ndani ya dini waliyokuja nayo kama vile kufunga sala tano kwanini ujikubalishe na hali hiyo ?Ningemuoba Dr Sheni pia awambie watu kuwa Dini ya Kisilamu ni Dini ya warabu na wao ndio waliyo ileta hapa Visiwani na sio ya wafrica nafikiri angesaidia pakubwa sana.




      Makame Ame 24/12/2013 at 4:46 mu · Ingia kujibu
      UGOZI, UGOZI, UGOZI…hiyo ndio sera tangu kuundwa kwa ASP na JKN mwaka 1957. Hakuna jipya na dhuria zimerithi uzuri.
      Lakini Shein na wafuasi wako wa mungu wa kiafrika, Kumbuka Mola Bwana wa viumbe vyote anasema..
      يا ايها الناس انا خلقناكم من ذكر وانثى وجعلناكم شعوبا وقبائل لتعارفوا ان اكرمكم عند الله اتقاكم ان الله عليم خبير
      O mankind! Lo! We have created you male and female, and have made you nations and tribes that ye may know one another. Lo! the noblest of you, in the sight of Allah, is the best in conduct. Lo! Allah is Knower, Aware.
      Zanzibar ni ya Wazanzibari ikiwa weupe ikiwa weusi ikiwa manjano ikiwa maji ya kunde au rangi yoyote ile. lkiwa wewe unayo haki ya kuwa mzanzibari basi na wengine wenye sifa kama zako waliotokea kwengineko kusiko Africa wana haki hiyo vile vile. Maneho yako hayatoweza kuwanyima haki hiyo pamoja na uraisi wako. Huko kwako ni kujidanganya na kuukataa ukweli. Na hilo halisaidii. Hii ardhi ya Allah SWT. Rejea kwa Mola wako kwa kupunguza kibri.




      1. Arshad25/12/2013 at 5:27 mu · Ingia kujibu
        Aliposema maneno yale, palkuepo na watanganyika wengi pale uwanjani kwa ajli ya matembez, hivyo labda alkua anawapa moyo na wao wajione wapo kwao.
        Lakn kasahau kua wenyewe kamili wapo.





​Kwani tumeshafika mwezi wa April?
 
Hadi hivi sasa hakuna ushahidi wowote kuwa maneno haya yamesemwa na Dr. Shein. Hayastahili hata kuyajadili.
 
Hadi hivi sasa hakuna ushahidi wowote kuwa maneno haya yamesemwa na Dr. Shein. Hayastahili hata kuyajadili.
Utashangaa kule Mzalendo.net hiyo ni habari kubwa na inajadiliwa kwa upana wake kabisa!! Mzalendo.net!
Ndiko wanakoaminisha watu Znz chini ya Sultan ilikuwa rwaha mustarehe.

Hawa jamaa ni wazuri sana wa kutunga uongo, kuuaminisha na kuusadikisha kwa maneno tu.
Ukweli unapotimia hawana hoja.

Tunawakubusha bunge la katiba lipo njiani, waungane na wale wanaohoji na kutilia shaka uhalali na ukweli wa mchakato kwa wao kutokuja bara.Wakipanda meli tu, basi waache neno mkoloni wa bara bandarini Malindi.
Hakuna mtwana anayemfuata mkoloni nyumbani kwakwe.
 
1963 Dec Zanzibar ya Sultani ilipata Uhuru

Nahisi kama ingekuwa "Zanzibar ilipata uhuru". Kilichofuata ni kuuza uhuru 1964 na hivi sasa wanadai uhuru. Kama kawaida wapo kina Shamsi wasiotaka kuwa huru!
 
Nahisi kama ingekuwa "Zanzibar ilipata uhuru". Kilichofuata ni kuuza uhuru 1964 na hivi sasa wanadai uhuru. Kama kawaida wapo kina Shamsi wasiotaka kuwa huru!

Kwanini Unasema UHURU uliuzwa 1964? ni Sawasawa na SOUTH AFRICA walipewa Uhuru - Afrikaner Revolution 1914 ulikuwa one sided kama huo wa ZNZ
 
Nahisi kama ingekuwa "Zanzibar ilipata uhuru". Kilichofuata ni kuuza uhuru 1964 na hivi sasa wanadai uhuru. Kama kawaida wapo kina Shamsi wasiotaka kuwa huru!

Ni ukigeugeu Wazanzibari hawajui wanataka nini wawe waafrika au Waarabu
 
Kwanini Unasema UHURU uliuzwa 1964? ni Sawasawa na SOUTH AFRICA walipewa Uhuru - Afrikaner Revolution 1914 ulikuwa one sided kama huo wa ZNZ

Haiwezi kuwa kweli kwani South Africa weusi hawakupewa nafasi ya kushiriki lakini kwa Zanzibar ni tofauti. Unajuwa nyie mlio nje ya Zanzibar mnadanganywa sana kuambiwa kuwa eti walioshinda kwenye uhuru huo ni Waarabu. Ukweli wenyewe ni kuwa hivyo vyama vilikuwa na watu wa pande zote, HIZBU ilikuwa na baadhi ya ya Waafrika na ASP ilikuwa na baadhi ya Waarabu.
Kilichotokea ni hicho kwenye mwanzo wa thread, ni kuwa HIZBU kilipendelewa na watawala wa Kingereza na hivyo wakatengeneza mbinu za kuwanyanganya ushindi ASP kama inavyofanywa na CCM kwa CUF sasa.
 
Ni ukigeugeu Wazanzibari hawajui wanataka nini wawe waafrika au Waarabu


Kwani nikuulize Mkuu nyie Tanganyika mnajuwa mnachokitaka? Iwapo kusikiliza maneno ya watu wanaofikiria masilahi yao ni kitu cha kutiliwa maana basi wenzetu nanyi ni vigeugeu kwani mara CCM, mara CDM, mara .... haieleweki.
 
Back
Top Bottom