Dr. Shein kumrithi Kikwete

Kwani Shein ni Mkristo??? Its unwritten constitution kuwa urais unapokezaniwa kati ya dini hizi kubwa mbili. Nenda hata Nigeria... Kwa Nigeria sasa ilikuwa zamu ya waislam na Rais alikuwa Yaradua, baada ya kufariki, kibahati urais ukamwangukia Goodluck. Indeed he was good lucky!
 


umesema kweli kabisa mkuu wangu. Hawa wenzetu wana chuki na wakati huohuo ni majambazi.

CHAMVIGA
===>Mh mnataka kwenda kuuza nyanya tena kule kivukoni?


Ni wakati wa mabadiliko ya kihistoria kama alivyofanya Mwinyi.
 
Last edited by a moderator:

CCM haiongozwi na hisia za udini kama hizo zilizokujaa kichwani mwako.
 
Si kila mgombea atakayepitishwa na ccm basi ndie rais.....taifa lilipofikia mpaka sasa bado sijaona
Mrithi wa kuendana na changamoto zilizopo zaidi ya edo, magufuli,lissu cdm mlitegemea nimtaje
Mwenyekiti na katibu wake hao hapana muda wao ulishapita kama vile lipumba wa cuf.
 
Hapo kwa Lissu nakupa big LIKE na Maghufuli kwa kiasi flani....ila kwa Eddo is a big NO!
 
Ooohh..God...Ooohh God...!! wht..!? Shein..!?

CCM buried itself in a day light...!!!

Shein....hapana...big NOOOOOO....!!!

Lowassa is ALL IN ALL....!!!!!!!!

2nd place Mwigulu Nchemba....!!!!

At times like this HUWEZI MUWEKA SHEIN AKAWA RAIS....HAIWEZEKANI....!!!! CCM NDIO BYEEE...!!!

Always my prediction is true....UKAWA WILL WIN...ONLY IKIWA CCM WATAMWEKA SHEIN....!!!

UKAWA WATASHINDA kwa kishindo hakuna mfano...!!!

Kumbe CCM hawasomi UPEPO....OMG...!!
 
Hapo kwa Lissu nakupa big LIKE na Maghufuli kwa kiasi flani....ila kwa Eddo is a big NO!
Sizungumzii maisha binafsi ya mtu sababu hakuna aliyemsafi hata mmoja, si anayemaliza muda wake wala atakayeingia
pale magogoni nazungumzia suala zima la utendaji....edo ni mtendaji bhana, shule za kata zimejengwa chini ya usimamizi
wa edo huo ni mfano wa kuona na ndio siasa zenye mashiko.
 
Dr.Shein hawezi maana hana maamuzi magumu kama Kikwete
 
walewale bora hata magufuri lakini hao akina pinda,shein, n.k wote nyoka wa kibisa
 
yaani utawala wa mapepo na majini uwe replaced na utawala mwingine wa mapepo na majini?are u guys serious?no...we have had enough of this bullshit!

Hahaaaa
Nimecheka mkuu!
Ngoja waje wenyewe....
 
Yan Mzanzibar atawale Tanganyika yetu??? Hapana tutapigana kufa na kupona akae uko uko..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Muungano wa equals muhimu kupokezana urais japo multi party politics hii kitu mtihani kwelikweli.
 

Hiyo unwritten constitution ilikubaliwa wapi na nani?
 
Salum Mwalimu je?
 
Mzanzibar Atawale Tanganyika? Acheni Masihala nyie, hlo linawezekana ktk muundo wa serikal 3 tuu, ambapo rais wa muungano angeweza kutoka upande wowote wa muungano
 
Kampeni za 2010 aliwaambia wananchi wa Kinondoni kuwa kilimo chao cha pamba na korosho kitaboreshwa mara CCM ikipata ushindi!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…