Baadhi ya sponsors wa Diaspora forum wamejitoa baada ya kusikia JK haji. Walikuwa wanategemea publicity na kupiga picha na JK.
Inasemekana pia
kuna Wahindi wengi waliomba ubalozi ili wakutane na JK, baada ya kuona ni Shein, wakaomba majina yao yaondolewe.
Nnanukuu:"Je kuna Biashara gani Pale Ikulu???" mwisho wa Kunukuu.