Kuna Jamaa anajiita Dr Samuel Mnzava, aliweka matangazo ya kazi na baadae ametumia watu email inayosomeka hivi:
Dear Sir/Madam,
Kindly be informed that we are a newly TCU registered university in Tanzania located at Kimara Mwisho along Morogoro road - Dar es Salaam, on the due reason that we don't have our own staff we have decided to hire interview panel to sanction the recruitment exercise. For that reason you are asked to deposit the T.shilling twenty thousands a non refundable as interview fee to TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY at CRDB Bank, Account No: 0150315938200,
Please send/bring the copy of your Bank slip to TIU Main Campus- Kimara or email to: smnzava@yahoo.com
we thank you again for showing interest to work with TIU.
With Regards,
Dr. Mnzava, PhD
VICE CHANCELLOR - TIU
Maswali ya kujiuliza
1. wapi umewahi kusikia mtu anayetafuta kazi analipishwa 'interview fee'
2. Kama hana pesa ya kulipa hao interviewers, Je atapata wapi pesa ya mshahara? si ataandika email nyingine kwamba ukadeposit kwenye account yake ili apate pesa ya kukulipa?
3. Jamaa yuko na email ya yahoo???? tena kufanya mambo serious hivi? huko tulishahama zamani, ni dalili ya mtu cheap cheap na mzushi
Jamaa yuko katika 0767-011344 , cha ajabu hii simu iko hewani! i bet ataizima baada ya mpunga wa kutosha kuingia bank