Wengi tulitarajia Msekwa angemsaidia sana JK ndani ya CCM. Hali ilivyo leo ni afadhali na ya jana. Msekwa ni mhafidhina wa kutupwa na anaivuruga zaidi CCM. SAS kuwa makamu wa Rais nako hakutaisaidia sana Nchi yetu. Amechoka. Alisulubiwa sana 2005. Wazee wetu hawa walitufaa sana wakati huo. Sio sasa.