App zinatengenezwa na wanafunzi kijana, tena wakiwa bado hawajamaliza hata shule zao. Production hufanyika kwa namna tofauti, ndio maana ya kugawana majukumu
Hajafika hata 40yrs na ni PhD holder, safi sana na hongera kwake kwa kutumia kichwa chake kwenye taaluma. Ninawafahamu wengi ambao wapo 36-40yrs na tayari wana PhD.