connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,840
- 3,908
R.I.PKinda katika sayansi na mifumo ya kompyuta nchini Dr Ruthbetha Kateule (PhD) hatunae. Kwa umri huo wa Miaka 38 (1987-2025) na PhD kaipata majuzi. Naamini mirathi haitaleta shida labda vyeti kibao. #KataaPhD#
Mkuu taratibu,tutacheka msibaniDuh! Amekuwa na mchango mkubwa akiwa mdogo tu anaondoka.
Mimi wa umri karibia na yeye ni hodari wa kuchambua nanii tu.
Ndio uyaone mwanawane bora ule mbususua tuu huna mkataba na sir god....wikens ndio hiyoooo tukachambue vipochi manyoya sasaDuh! Amekuwa na mchango mkubwa akiwa mdogo tu anaondoka.
Mimi wa umri karibia na yeye ni hodari wa kuchambua nanii tu.
Zingatia mkuu,tupo msibani tafadhaliNdio uyaone mwanawane bora ule mbususua tuu huna mkataba na sir god....wikens ndio hiyoooo tukachambue vipochi manyoya sasa
Yeye sio wa kwanza wala wamwisho kufa. Ukizaliwa kufa is 100% guarantee.Zingatia mkuu,tupo msibani tafadhali
🤣Mzab please, please broYeye sio wa kwanza wala wamwisho kufa. Ukizaliwa kufa is 100% guarantee.
Wafiwa wapewe uji
So sad!!Kinda katika sayansi na mifumo ya kompyuta nchini Dr Ruthbetha Kateule (PhD) hatunae. Kwa umri huo wa Miaka 38 (1987-2025) na PhD kaipata majuzi. Naamini mirathi haitaleta shida labda vyeti kibao. #KataaPhD#View attachment 3300762
R.I.P Shujaaa wetu Msomi.Kinda katika sayansi na mifumo ya kompyuta nchini Dr Ruthbetha Kateule (PhD) hatunae. Kwa umri huo wa Miaka 38 (1987-2025) na PhD kaipata majuzi. Naamini mirathi haitaleta shida labda vyeti kibao. #KataaPhD#View attachment 3300762