Kweli hii habari imenishtua sana...! Huyu jamaa anastahili apewe heshima kubwa sana manake yeye ndio alioweza kuufikisha muziki wa rumba hapa ulipo sasa...! Nimeguswa sana na msiba huu. Nyimbo zake zilikua hazina manjonjo mengi lakini zilikua na ujumbe mkubwa saaana...!
My his soul rest in peace...!