Dr. Remmy Ongala Hatunaye Tena!

DALA

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,210
4,512
Inasikitisha ila ndo ukweli wenyewe! Kutokana na taarifa ambazo nimepata kwenye mtandao wa facebook mda si mrefu uliopita kwenye status update ya msanii profesa Jey Mwanamuziki Nguli mzee Dr. Remmy Ongala ameagadunia! Mungu ailaze roho yake pema peponi!
 
RIP Doctor Remmy - Can't forget Kifo ehh kifo, Narudi Nyumbani wish wangezipiga wakati wa mazishi yake
 
Kweli hii habari imenishtua sana...! Huyu jamaa anastahili apewe heshima kubwa sana manake yeye ndio alioweza kuufikisha muziki wa rumba hapa ulipo sasa...! Nimeguswa sana na msiba huu. Nyimbo zake zilikua hazina manjonjo mengi lakini zilikua na ujumbe mkubwa saaana...!

My his soul rest in peace...!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom