Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,697
- 9,048
Mbona hukumshauri agombee kupitia chauma
umesahau CHADEMA ni walewale tuDr.Mengi hakuwa na akili za kipoyoyo za vyama mfu kama CCM na vibaraka vyake kama CHAUMA,TLP,CUF LIPUMBA, NCCR Mageuzi n.k.
Kama ni kuwa Rais angelitakiwa agombee kama MGOMBEA BINAFSI na si kupitia chama cha wendawazimu kama CCM na vibaraka wake......!!
....Siyo Kilimanjaro ingekuwa kama Dubai?,.?bcoz kampuni yake inawachaga watupuTanzania imepoteza Kiongozi, Mzalendo,Mfanyabiashara,Bilionea,Mwungwana na na Mpenda Haki.
Najaribu kuwaza kwa sauti kubwa iwapo Dr.Reginald Abraham Mengi angelikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchi yetu ingelikuwa wapi Kiuchumi na Kisiasa?
Karibu kwa michango na utupie maoni yako hapa.
umesahau CHADEMA ni walewale tu
....Siyo Kilimanjaro ingekuwa kama Dubai?,.?bcoz kampuni yake inawachaga watupu
...unakosea unavyosema watanzania,..Pambaf....!
Usijifanye hamnazo. Hivi sasa Watz wote wanamlilia Mengi kila kona unataka kusema Tanzania kuna Wachagga peke yao?
Watz wote? Umekosea kutumia neno wote! Huku nilipo kuna watu hata hawamjui mengi, na wala hawajui kama kafaPambaf....!
Usijifanye hamnazo. Hivi sasa Watz wote wanamlilia Mengi kila kona unataka kusema Tanzania kuna Wachagga peke yao?
Watz wote? Umekosea kutumia neno wote! Huku nilipo kuna watu hata hawamjui mengi, na wala hawajui kama kafa
We jamaani mjinga sana, yaani hapo kichwani kwako unajua mengi anajulikana na watanzania wote! Toa kwanza huo ujinga, alafu tuanze kujadiliKuna mitanzania mmezidi kwa unafiki...!
Can you tell us which part of this country you're referring to? Ni wapi ambako ITV, EATV na Radio One havisikiki au kuonekana kama so uongo?
Kuna nchi jirani wanajua Mengi hatunaye lakini wewe mnafiki mkubwa unapayuka ati kuna sehemu Tanzania watu hawajui chochote kuhusu Daktari Mengi!
Tanzania imepoteza Kiongozi, Mzalendo,Mfanyabiashara,Bilionea,Mwungwana na na Mpenda Haki.
Najaribu kuwaza kwa sauti kubwa iwapo Dr.Reginald Abraham Mengi angelikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchi yetu ingelikuwa wapi Kiuchumi na Kisiasa?
Karibu kwa michango na utupie maoni yako hapa.
Dr.Mengi hakuwa na akili za kipoyoyo za vyama mfu kama CCM na vibaraka vyake kama CHAUMA,TLP,CUF LIPUMBA, NCCR Mageuzi n.k.
Kama ni kuwa Rais angelitakiwa agombee kama MGOMBEA BINAFSI na si kupitia chama cha wendawazimu kama CCM na vibaraka wake......!!
We jamaani mjinga sana, yaani hapo kichwani kwako unajua mengi anajulikana na watanzania wote! Toa kwanza huo ujinga, alafu tuanze kujadili