nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,439
- 2,287
Habari za leo ndugu jamaa na marafiki wa jf na poleni kwa huu msiba mkubwa.
Nimesikia taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Dr.Ray kafariki dunia akiwa jijini Dar.mwenye kufahamu vizuri kifo chake kimetokea vipi na maeneo gani hapa Dar utujuze maana tumepokea msiba kwa mshituko mkubwa kila mtu anajiuliza imekuwaje imekuwaje!
Dr.Ray alifanya internship Bugando hospital na baadae akafanya MMED(surgery) Bugando na kwa sasa nasikia aikuwa hospital ya Butimba.
R.I.P Dr.Ray Simon Mpina.