Dr. Ramadhan Dau aunguruma darajani Kigamboni

kuna uzi humu eti dau amekatazwa kuhudhuria...
yaani humu JF kuna watu wazushi sana ....................
Inawezekana mtoa mada alitoa kilicho moyoni mwake. Yawezekana hilo ndilo alilokuwa analitaka
 
Dr Dau hajafungua daraja, hata wasemaji wote waliomtangulia JPM hawakutambua uwepo wake katika zile protokali. Endeleeni kujifariji, ila darala limepewa jina la mkatoliki Julius Nyerere
Hao ambao hawakutambuwa uwepo wa Dr.si Kitu kama mh. Rais amemtambuwa inatosha. Wabaki na chuki zao.
 
Reactions: R.B
Hili swala la Dau kwanini mnaligeuza kama vita ya kidini?

Dau ni mtanzania mwenzetu na ameitumikia nchi yake vema...

Acheni kuchochea udini...

Udini uko wapi sasa hapo mkuuu?

Aaah hata wewe?

Hebu ona japo hayaa kidogooo
 
Hivi kumbe hili ni daraja lake!!!?
Hizi pesa zote alizipata wapi za kujenga daraja kama hili? Na ni kwa nini aliamua kujiongezea gharama kwa zaidi ya billiion 100 ambazo zinaweza kujenga daraja na nyongeza ya jengo jipya kama la TPA!?
swali kama hili kamuulize balozi Ombeni ndie mwenye jibu zuuuuri zaidi ya dr. Dau
 
Ah! kila kukicha Dau,Dau tumeona jahazi nini Dau, imechosha sasa.
 
jitahid tu ulipe kodi yetu! vinginevyo tutang'oa hapo hapo kwenye kampuni yako
 

inawezekana wakulu watakuwa wamesikia kuna watu humu wanaliita hilo daraja "Daraja la Dau". sasa yawezekana pia Dau kaalikwa ili ashuhudie likitajwa jina la yule mwenye staha, weledi, uadilifu na haiba kwa vitu muhimu kupewa jina lake.

Mwl Nyerere (rip)!
 
Kumtegemea mtu akufanikishie mambo yako ni shiriki. Na dhambi kubwa Mungu anahekima yake kwa binadamu. Mnashangaa Dau kutokukumbukwa katika uzinduzi wa daraja alolisimamia, mbona hamkumbuki hata Uhuru wa Tanganyika mambo ni hayohayo ,kikubwa hilo daraja watakuwa wanapita viumbe wake Mwenyemungu waovu na wachamungu. By the way maisha yenyewe ni mafupi.Yu wapi Nyerere wa Butiama.
 
roho mbaya sana. Mungu tu awaongoze.
 
Kweli yamechosha wangelituacha tupumzike.
 
Nimesikiliza voice note ambayo Dau katamka kuwa anamshukuru mheshimiwa raisi kwa kutambua uwepo wake cause hata kwenye ratiba alikuwa hajawekwa na hivyo alikuwa hajajiandaa kwa speech!
 
Hivi kumbe kupiga picha na rais mkatoliki kuna hadhi yake eeh? Yaani hadi watu wanaianzishia thread!

Nin kupiga nae picha?

Sisi tumempigia hata kura zetu magufuli pasi na kuangalia ukatoliki kama vile nyinyi mlivokampigia kura kikwete pasi na kuangalia uislam wake...

Chuki na ubaguz mnauendekeza nyinyii...

Tz ni nchi yetu soote...chuki baina ya jamii hii moja ni ya nin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…