BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr. Rajabu Rutengwe anadai toka aachishwe kazi amepoteza mwelekeo na amekuwa tegemezi kwa familia maskini.
Pia anadai haelewi amekosea wapi mpaka amefutwa cheo na hitimisho lake ni kuwa wasaidizi wake ngazi za chini wamechangia anguko lake.
Nia ya mada hii sio kumhurumia huyo RC. Napenda tupate mafundisho toka kwake.
1) Kiongozi ambaye amefikia kiwango cha Phd au udaktari wa kawaida sitegemei aanze kulialia kama sio msomi, labda kama ni kilaza.Kumbuka thread yangu ya vyuo vikuu kuzalisha wasomi vilaza, taaluma zao haziwasaidii.
2) Hawa viongozi huwa wanahubiri kujiajiri kwanini huyu RC asijiajiri anasubiri/anaomba appointment nyingine ya Rais?
3) Kiongozi asiyejua wapi alikosea anatarajia nani atamwamini na kumpa nafasi nyingine. Hajui strength na weakness za kazi aliyokuwa anafanya?
4)Ukuu wa mkoa ni cheo cha kisiasa sio taaluma, kwanini huyu Dk. Rajabu alijiona kafika?
Karibuni tujadili bila jazba.