Dr. Pombe Magufuli, ashindwa kutokea kwenye Mdahalo wa Urais wa Tanzania

Bora Lowasa aliekataa mapema, huyu jamaa na January ni wahuni sana
 
Magufuli ni mwongo tu kila ck,,mtt wa haramu lzm awe hrm tu,,ccm ni hrm na magufuli pia ni hrmu vilevile
 
Mgombea Urais wa CCM Dr.John Pombe Magufuli, ameshindwa kuhudhulia katika Mdahalo wa Marais wanaogombea Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao Unaendelea Hivi sasa.

Hapo mwanzo alitoa taarifa kwamba atashiriki, lakini dakika 45 kabla ya kuanza mdahalo, ametoa taarifa kwa waandaaji kwamba hatahudhulia, hali ambayo imepokelewa kwa hisia tofauti.

Hadi sasa Wagombea urais waliohudhulia ni wawili tu ambao ni Mgombea wa ADC Chief Lutasola Yemba, Mgombea wa ACT Wazalendo Mama Anna Mghwira huku akisubiriwa mgombea wa CHAUMA Hashim Rungwe ambaye amesema yupo airport anakuja kwenye mdahalo.

Hii sio picha nzuri kwa wagombea wetu. Ni aibu Mdahalo wa Marais kukudhuliwa na Marais wawili tu kati ya Marais wanane.



ccm hawana ubavu wa kwenda kwenye midahalo walichokua wanataka kukifanya ni kumuingiza mkenge Lowasa aende then wao dakika ya mwisho wachomoe kama walivyochomoa hivi, hivyo katika mdahalo ccm wasingekuwepo
 
Sasa kwanini apoteze energy wakati mpinzani wake mkuu kakataa? Ajipime na Hashim Rungwe ili iweje sasa
 
Mdahalo uliokuwa umeandaliwa Twaweza Maghufuri amekacha sababu ameshidwa kuzieleza.
Viva Lowasa uliona mbali sana huu mdahalo ulikuwa umendaliwa kumpigia Campaign Maghufurika.
Cha ajabu huyu Maria ameeleza sababu za kutoudhuria kwa Lowasa akionyesha kumponda Lowasa lakini kwa Maghufuri akawa mpole,CCM mmechamka pesa zimeliwa na hakuna lilofanikiwa.


utaenda kwenye match wakati mpinzani wako kakimbia...?
 
watu wenyewe wachovu hao waliohudhuria sasa si bora aendelee kumpoteza luwasa huku mitaani...
 
ha ha ha Magufuri kasepa mbaya .Sasa sina imani kabisa na ahadi kedekede alizozitoa . Hii ndogo tu ya mdahalo kasepa sasa ya fly overs itakuwaje?
 
Kwa mkwara Mzito mnaotoaga UKAWA kwamba lazima muende ikulu ilitakiwa leo mgombea wenu awepo hapo jukwaani! lakini ndo wa kwanza kukimbia!

halafu unawahi kupiga madongo CCM, Kweli nyani haoni...............................

Achana nao magufuli alimtaka lowasa kwa kuwa amekimbia basi akafanye nini?
 
nchi za africa midahalo bado hawajui kuiandaa ina kaushabiki fulani na ndio maana haina uzito.ingefaa vyama ambavyo havina ilani ya uchaguzi kama chadema wangefika kwenye mdahalo


Huyo Ali Mufuruki ambaye ndio mmoja wa waandaaji wa huo mdahalo ni shabiki wa magamba ; sasa ulitegeme kweli watu wenye akili waweze kushiriki kwenye mdahalo kama huo?
 
Baada ya ukawa kuona waandaaji ni wanafki wakaamua kukacha kwa taarifa rasmi,ccm ni ile ile mmeichagua wenyewe ni mbele kwa mbele na mtaisoma namba,hili limejidhihirisha wazi,dawa ni kuwapiga chini
 
Back
Top Bottom