Dr. (PhD) Slaa Akishinda, Kikwete atakubali matokeo?

Dr. (PhD) Slaa Akishinda, Kikwete atakubali matokeo?

Uwanja wa Uhuru ushapambwa na bendera za CCM,JIBU SAHIHI NI KIKWETE 2,HAMNA HOJA NYINGINE,HATA LIPUMBA KAKIRI LEO KAMDUMBUKÌZIA KURA KIKWETE,NA HABARI ZA UHAKIKA NIKUWA KURA YA SLAA IMEHARIBIKA KWANI KABADILI NAKUANDIKA MBOWE,BILA KUANGALIA,AMEJUTIA SANA ILA NDIO IMEPITA
 
nyinyi mnajidanganya kweli .hivo mnafikiri dr slaa atashinda.kikwete atashinda kwa asilimia 65 .now get over it .dr slaa ni mshindi wa urais wa mitandaoni .kazi kujidanganya nafsi zenu .kikwete will be there for the second time .i can bet with anyone
 
Nawapa mtumaini yeyote atakayeshinda,atajitahid afanye kazi nzuri. Maana hakuna anayependa kuwa na sifa mabaya hali akijua kwamba, yeye sio bora zaidi kuliko aliyemshinda; ila ni fursa tu aliyopewa na wananchi kwa imani njema God Bless Tanzania
 
Back
Top Bottom