Dr Peter Dalaly Kafumu apata ajali

Bwana alitoa na Bwana ametwaa.RIP kafumu.lol
 
Ubinadam kwanza.

Tafadhali kwa mwenye maendeleo ya hali ya Dr. Kafumu atupe. How's he doing now?
Get well soon wishes!
 
Tunamshukuru Mungu kama hakuna uhai uliopotea. Poleni sana Dr Peter Dalaly na mwenzio.
 
Kafa Mwangosi yeye nani bana! kufa kafumu (Blood sucker)
 
Mungu amsaidie aone kashindye anavyoapishwa kua mbunge wa igunga!

Rostamu alijionea mapema siasa uchwara akasepa, haya Mwigulu jidanganye na Igunga uje ushuhudie na Iramba unaikosa
 
Je huu ndio mtizamo wa kutakiana maisha mema katika ajali kwa chama cha CDM?

Kama ndivyo, msimamo hu unatofauti gani na waliomuua Mwangosi?

CDM=CCM
Sipendi mafisadi ndio maana Siwezi kumuombea apone haraka wala simuombei kifo... Namuachia mola ndio aamue
 
Ajali hiyo ilitokea jana ambapo gari ilipoteza uelekeo kutokana na hitilafu ya barabara na hivyo kuvutwa, kugonga gema na kupinduka mara moja na gari kukaa matairi juu.

Kuna upotevu mkubwa wa maisha ya watu na mali zao unaotokea kila siku kutokana na ubovu wa barabara. Ukichukulia kwamba kila tunaponunua petroli au dizeli tunalipia utengenezaji wa barabara (road toll), niliwahi kupendekeza kwamba Waziri wa Ujenzi (Magufuri) na serikali kwa ujumla washitakiwe kila inapotokea ajali au uhalibifu wa gari kutokana na hitilafu ya barabara, kama vile shimo kubwa la ghafla ambapo hakuna hata alama ya tahadhari. Mara nyingi sana nimeponea chupuchupu kutokana na mashimo ya ghafla barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…