Dr. Ndarichako jipange ur next.....

Status
Not open for further replies.
Me siku zote kaka nimekaa nikijifikiria hili Israel ni baba yao. Siku moja nilifikiria kwa nini iliamua kuwapa Sinai Misri. Sikupata jibu nikajua kimoja misri kama taifa lenye nguvu katika wote inajenga utabiri wa Mungu. Hawa sio wa kuwaangalia usoni. Hatari mno.
 
Wamewakosa tu. Wangetafuta angalau wa3 wawaonyeshe jinsi inavyoendeshwa. Wanatumia udhaifu wa JK. Njomba angewafanya mbaya leo. Dini haina haki ya kuamua mstakhabali wa nchi ya watu mil. 40


mkuu mbona mmekaa kishari sana,ndio maandiko yenu yanavyowafundisha??



 
Dini ni kama opium tu kwa binadamu. Inalewesha kama nn. Salman Rushdie is my hero. Mpaka kesho anadunda tu, hakuna cha fatwa,alb wala nn.

yuko wapi ? Mwambie atokee kweupe aone ! Sie hatucheki na kima, we umeona wapi hicho kitabu kinauzwa ?
Sie haturuhusu mambo hovyo hovyo !
 
mkuu mbona mmekaa kishari sana,ndio maandiko yenu yanavyowafundisha??

washari ni wale waliomsulubisha Yesu, sie tumekaa kimapambano haswa katika kuzuia dhulma !kama vile kunyang'anywa dhahabu kisha ukapewa msaada wa kondom !
 
Mzimu nimependa hii lakini angalia mkuu. Ni kila kitu cha serikali lazima kiendane na dini mfano sensa nini faida ya kujua idadi ya waislamu? Kuna haja gani ya kuandamana watu wote wale na mabango yenye kukejeri dini zingine kama mtu kakamatwa kwa misingi ya kuvunja sheria ya kutohesabiwa katika sensa? Je kama kuna waislamu wanaokuja miskitini hamjui idani ya waumini wenu?

Umeongea nzuri lakini katika matendo siyo hivyo. Nini maana ya mtu anayepingana na uislamu ni yule asiyeamini uislamu?

 
wazir wa elimu shukuru kawambwa ndo boss wa Ndalichako, na ni muislam mwenzenu. Kwanin msiandamane kwenda kwake?
 
 
washari ni wale waliomsulubisha Yesu, sie tumekaa kimapambano haswa katika kuzuia dhulma !kama vile kunyang'anywa dhahabu kisha ukapewa msaada wa kondom !

kwaio mnapambana kuzuia dhulma ipi mkuu??
 
 
washari ni wale waliomsulubisha Yesu, sie tumekaa kimapambano haswa katika kuzuia dhulma !kama vile kunyang'anywa dhahabu kisha ukapewa msaada wa kondom !

Hii naunga ila isiwe move ya kidini kama mnavyofanya na kuonyesha serikali inawanyanyasa huku ikulu ikiwa ya waislamu kutoka rais hadi mpishi. Mnamwaibisha JK na favour zote anazowapa hamtambui.
 
 
Vilaza utawaona tu, Ndalichako ndo amesahisha mitihani ya mitoto yenu?. Mitoto yenu yenyewe mbumbumbu mnataka kuwasakizia watu wengine, kama ikiwa wakubwa wao ndo mna mawazo hayo, je watoto wenu watakuwaje?

Mbona watoto wenu wanafaulu huku hawajui kusoma na kuandika?
 
As long as JK yupo madarakani, hawa wavaa suruali fupi, they are like free molecule.... Lakini ili la nderichako hawa jamaa hawako sahihi, kwani wao wame-invest kwenye elimu ahera... Matokeo yake elimu dunia inawafanya kitu mbaya...

So long wewe hutaki kutafuta ukweli juu ya jambo hili basi baki ni akili zako finyu. Baraza la Mitihani limekuwa likiwafelisha watoto wa kiislam makusudi tena hata katika somo la Dini yao. Hii haikubaliki. Tazama majibu mepesi ya baraza hilo pale walipobainika. Tunataka Ndalichako aondoke na baraza liundwe upya hutaki, usitake hii ni nchi yetu sote. waislam lazima wapatiwe haki yao.
 
Dhaifu plus plus.........kavuta waya akiwa kampala achia hao!

Tazama, nchi inaoongozwa na sheria sio utashi wa akina komba. Kumbuka nchi hii imewadhulumu waislam kwa muda mrefu na sasa lazima kieleweke. Amani ya maono ya marehemu nyerere sasa haina tena nafasi kwenye nchi hii.
 
Real! You think big.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…