Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,570
- 16,017
GTs,
Nimpongeze kwa dhati kabisa toka Moyoni Dkt Nchimbi kwa uvumilivu wake. Hakika huo moyo Dkt Mpango hana kabisa. Ila pia pole sana kwa wananzuoni kutoka Chuo Kikuu Mzumbe na IDM, maana ndiyo Chuo kimetoa rais wa kwanza ila ndiyo hivyo haelewi kabisa kinachoendelea na vilio vinavyoendelea huku mtaani. Ila uzuri wa Mungu hua anatoa somo.
Sisi tuliokuwa kindaki ndaki kwa Dkt Magufuli alivyofariki hatukuamini, tulijiona miungu watu na waliopiga kelele tuliona wanatuchelewa na ni mamluki ila leo Dkt Magufuli ni mifupa.
Dkt Samia tunakuombea mwisho mwema labda utaamka usingizini na kujua kumbe zile nyomi ni za mchongo yaani watu wanakuja kuchukua hizo elfu kumi, na chumvi na sabuni, hivyo mtu akihudhuria mikutano 10 ana laki moja.
Mimi Oktoba lazima ni tick kwa Dkt Samia ila ukweli katuvuruga sana kwa ukimya na watu kuuawa halafu yeye yupo kimya. Uzuri hakuna lisilo kuwa na mwisho kile lenye mwanzo, na yeye ataondoka madarakani kama ilivyo kwa watangulizi wake