Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,287
- 283,204
Nasikia jamaa ni Mshirikina hatari kuna ndugu yake mmoja jina limeifadhiwa nilisoma nae anasema kwao na yeye mwenyewe Mh. ni hatari funga kazi ya kijiji
Roho ya Amina Chifupa inamfuata
...vaa gloves mkuu,chukua ganzi kabisa,kisha tupia data jukwaani...Kucha zangu naogopa kukoment
Nasikia jamaa ni Mshirikina hatari kuna ndugu yake mmoja jina limeifadhiwa nilisoma nae anasema kwao na yeye mwenyewe Mh. ni hatari funga kazi ya kijiji
Nchimbi njoo huku. Aliye juu mngoje chini. Tupo wote chini mkuu. Makidai yote kwisha. Umetesa watanzania wenzako utafikiri wewe si mtanzania bali kaburu.
nikisoma comment za vijana wa chadema naogopa, naanza kuaaelewa kwnini viongozi wake na wanachama wake wanahusishwa na unywaji waa gongo
kunawatu was.h.en.z.i sana, wanadhani wao wamezaliwa kutawala na kuongoza watu wengi shwaini
mkuu sixgates hao jamaa wanafikiri siasa ni vita,no wonder wakishika nchi wanaweza kufunga wapinzani wote.
Acha kufuru kijana.Mwangosi hata asingekufa na mabomu bado angekufa tu hata kwa N.goma na ajali
mwambieni anatakiwa kwenda kuoga baharini akiwa ..... wa mnyama, na akienda huko arudi kinyume nyume aoge mara tatu, akitoka hapo maadui zake wataugua
kukosa uwaziri is not the end of the world maisha lazima yaendelee tu , aponywe katika jina La Yesu