Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
Damu ya Ipyana Malecela inamuandama
Madongo mengine sasa duuuuuuuuuuuu yamepita kiasi. Lord have mercy!!Ndugu umenikumbusha mbali sana.
Hakika pale Malecela alikuwa anajembe na sio hili DEBE lilobakia.
Naamini Makinda anageambiwa achague nani atangulie kati ya hili Debe na Ipyana angechagua Litumbo lile maana halina faida.
Damu ya mtu ni mbaya sana kama alimwaga damu itafuatilia kizazi chake chote!!maskini kijana wa watu!!Damu za watu wasio na hatia ndizo zinamtafuna! Cheza na mzimu wa Dr. Mvungi weye!!!!!!
Damu za watu wasio na hatia ndizo zinamtafuna! Cheza na mzimu wa Mwangosi weye!!!!!!
Nafikiri ni sababu ya ile ndoto ya kuwa RAIS imekatikia hewani. Sijui ile kambi yake itahamia kwa nani sasa?
Damu ya mtu ni mbaya sana kama alimwaga damu itafuatilia kizazi chake chote!!maskini kijana wa watu!!Damu za watu wasio na hatia ndizo zinamtafuna! Cheza na mzimu wa Dr. Mvungi weye!!!!!!
Dk . Emmanue Nchimbi , ambaye
alikuwa waziri wa mambo ya ndani ya
Nchi, yuko hoi hospitarini . Madaktari
wanasema anasumbuliwa na ugonjwa
wa msongo wa mawazo .
Kwa mujibu wa mmoja wa
wanafamilia wa karibu wa Nchimbi ,
anasema mwanasiasa huyo
amekubwa na ugonjwa huo mara
baada ya Rais Jakaya Kikwete
kutangaza baraza lake la mawaziri
Jumapili iliyopita.
Amesema Nchimbi amekuwa
akisumbuliwa na msongo wa mawazo
tangu alipolazimishwa kujiuzulu na
Bunge baada ya kukumbwa na kashifa
kwenye opesheni ujangili.
Amenieleza kwa sasa amelazwa
kwenye hospitali moja jijini Dar es
Salaam chini ya ulinzi mkali wa
wanafamilia. Kulazwa kwake na hata
ugonjwa wake kumefanywa siri
kubwa .
Tunaendelea kufuatalia na
kutawaletea kila kitakachopatikana.
Chanzo: mitandao ya kijamii.
Dk . Emmanue Nchimbi , ambaye
alikuwa waziri wa mambo ya ndani ya
Nchi, yuko hoi hospitarini . Madaktari
wanasema anasumbuliwa na ugonjwa
wa msongo wa mawazo .
Kwa mujibu wa mmoja wa
wanafamilia wa karibu wa Nchimbi ,
anasema mwanasiasa huyo
amekubwa na ugonjwa huo mara
baada ya Rais Jakaya Kikwete
kutangaza baraza lake la mawaziri
Jumapili iliyopita.
Amesema Nchimbi amekuwa
akisumbuliwa na msongo wa mawazo
tangu alipolazimishwa kujiuzulu na
Bunge baada ya kukumbwa na kashifa
kwenye opesheni ujangili.
Amenieleza kwa sasa amelazwa
kwenye hospitali moja jijini Dar es
Salaam chini ya ulinzi mkali wa
wanafamilia. Kulazwa kwake na hata
ugonjwa wake kumefanywa siri
kubwa .
Tunaendelea kufuatalia na
kutawaletea kila kitakachopatikana.
Chanzo: mitandao ya kijamii.
kukosa uwaziri is not the end of the world maisha lazima yaendelee tu , aponywe katika jina La Yesu
Mi nakumbuka baada ya kifo cha Mwangosi alijipendekeza kwenye mkutano wa waandishi wa habari pale Jangwani nadhani alitolewa mbio kwa aibu huyu Bwana...RIP Nchimbi
Ushirikina wa kweli ni ule wa kumloga hadi Mungu! Nchimbi anaweza kumloga Mungu?!!!Nasikia jamaa ni Mshirikina hatari kuna ndugu yake mmoja jina limeifadhiwa nilisoma nae anasema kwao na yeye mwenyewe Mh. ni hatari funga kazi ya kijiji