Liwe fundisho kwa wengine huwa upewapo madaraka yapo mambo ya msingi ya kufuata. Heshima kwa wengine, utu,majibu ya staha na kuwajibika. Kwa kiwango cha juu sifa hizo Nchimbi aliziweka mfukoni.
amehusishwa kwa mambo mengi yasiyo mazuri na nafasi ya kujisafisha sasa imekuwa finyu.