Dr Nchimbi apeta!!!!!

Nasikia huyu jamaa(Nchimbi) ni mtu wa 'kupuliza' sana.

Hawa wanaweza hata kuwatia wapulizaji aibu kwa mwendo huu. Mtu anatukanwa mpulizaji, halafu katika kutukanwa huko wapulizaji wanaona wao ndio wametukanwa kwa jinsi jamaa alivyo ovyo.
 

Mkuu I feel sorry for you; maana unatumia nguvu nyingi sana kupambana na mmoja wa "graduates" toka shule za kata!! Shule ambazo "komredi" Lowasa anajisifia kila kukicha kuwa ni mafanikio ya uwajibikaji wake!!

Ukiona mtu anaongelea kiongozi kusalimiana na watu vizuri, ina maanisha ni kiongozi bora, baaasi tena.

Happy new year!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…