Profesa wa Maliasili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 632
- 1,921
Ubinadamu wa hali ya juu sana
Jamaa yuko Peace sana, Mwenyezi Mungu azidi kumpa afya njema na Maisha marefuMwinyi Hussein waliowahi kuwa karibu naye wanamsema very positive kuwa ni mtu asiye na makuu
Tangu alipokuwa Shule alikuwa hivyo hivyo!Mwinyi Hussein waliowahi kuwa karibu naye wanamsema very positive kuwa ni mtu asiye na makuu
Ndio raha ya kuwa MuislamUbinadamu wa hali ya juu sanaView attachment 1713013
Kutawala huku bara sema basi tuUbinadamu wa hali ya juu sanaView attachment 1713013
Basi anaweza kuwaunganisha vizuri wazenjiTangu alipokuwa Shule alikuwa hivyo hivyo!
Tangu alipokuwa Shule alikuwa hivyo hivyo!
ulitaka aingie na viatu ukumbini?Mbona havai viatu? Au naye amekuwa Mrisho Mpoto
alipatwa na coronaAlaf uyo nae barakoa ya nn sasa
Kitu ambacho nimegundua mpaka sasa, waislamu wote wanao tawala huwa ni pole sana,wabinadamu tofauti na wakristo toka Nyerere mpaka leo
Chukua tahadhari kima weweAlaf uyo nae barakoa ya nn sasa
Usidhani inatokea kwa bahati tu.Kuwa Rais Tanzania kwa Muislam ni lazima uwe Muislam poa wa kutokea Bakwata.Ukiwa siasa kali kama kina Ponda,Urais utausikia kwa wengine.Kwahiyo ondoa dhana kuwa yeyote muislam akiwa Rais atakuwa na ubinadamu tofauti na wakristo.Kitu ambacho nimegundua mpaka sasa, waislamu wote wanao tawala huwa ni pole sana,wabinadamu tofauti na wakristo toka Nyerere mpaka leo
Allah ampatie kila lililojema hikmal za ajabu kabisa Amurukum amurukum masheitwan wabaya wasimsogelee mja huyu rais huyu aliye mwema na mwingi wa hikmalUbinadamu wa hali ya juu sanaView attachment 1713013
Unamshangaa mtu hajavaa viatu wakati wewe usikute hata kyupi hujatingaMbona havai viatu? Au naye amekuwa Mrisho Mpoto
Mm ni mkristo R/C lkn nadhani ndugu zetu waislam wana mafunzo mengi sana ya kujali utu....toka wakiwa wadogo sisi kina Alexander tukiwa na vyeo tunataka kuwa kama kina Alexander the greatKitu ambacho nimegundua mpaka sasa, waislamu wote wanao tawala huwa ni pole sana,wabinadamu tofauti na wakristo toka Nyerere mpaka leo