Dr Mwinyi for presidency 2030

Dr Mwinyi for presidency 2030

Huyu ndiye kiongozi atakayeiunganisha Tanzania mwenyezi Mungu amjaalie afya njema
COUNTDOWN YA MAUAJI MLIYO YAFANYA ..WAZANZIBAR NA RAIA FEKI , MMEANZA KUWEWESEKA.... NI NDOTO MZANZIBAR KUJA KUWA RAIS TANGANYIKA..JAPO WAHALIFU WATA TAMANI KUFORCE ILI KU BUY TIME YA HATIMA YA UHALIFU WALIO FANYA NA DAMU NYINGI WALIYO MWAGA TENA KWA MISINGI YA KIDINI.
 
Tulia wewe fundi redio wakati wenzako wanasoma HKL waje kukuongoza ulikuwa unawacheka, haya sasa tulia dawa iingie
 
COUNTDOWN YA MAUAJI MLIYO YAFANYA ..WAZANZIBAR NA RAIA FEKI , MMEANZA KUWEWESEKA.... NI NDOTO MZANZIBAR KUJA KUWA RAIS TANGANYIKA..JAPO WAHALIFU WATA TAMANI KUFORCE ILI KU BUY TIME YA HATIMA YA UHALIFU WALIO FANYA NA DAMU NYINGI WALIYO MWAGA TENA KWA MISINGI YA KIDINI.
Maandishi haya ni ya mtu aliyebakiwa na Linda Moja tu au halipo kabisa. Eti mauaji ya kidini, hivi unajisikia kweli wewe?!!!! Au ndo unatufungulia code kuwa Hila zooooote mnazozifanya mkiongozwa na chadema yenu na kanisa kumbe kisa ni dini ya kiongozi huyo ee?!!!
 
Huyu ndiye kiongozi atakayeiunganisha Tanzania mwenyezi Mungu amjaalie afya njema
Hana uwezo. Kazanzibar tu ka watu wasio zidi milioni 2 kanamtoa jasho ndo ataliweza litanganyika. Naona mnahamu watanzania bara waendelee kuuawa na maTISS wakishirikiana na mafwele.
 
Maandishi haya ni ya mtu aliyebakiwa na Linda Moja tu au halipo kabisa. Eti mauaji ya kidini, hivi unajisikia kweli wewe?!!!! Au ndo unatufungulia code kuwa Hila zooooote mnazozifanya mkiongozwa na chadema yenu na kanisa kumbe kisa ni dini ya kiongozi huyo ee?!!!
Uwezi kuyatambua haya maneno kwa sasa subiri siku zinakuja utatambua kuwa mauaji yalifanya kidini...ndiyo maana mashekh wanatamba wakitamka maneno ya kuchinja na kumwaga damu hakuna chombo chochote wala viongozi wanao wakamata kwa sababu nguzo kuu ya nchi imesimama kwenye itikadi hiyo na kuwatumia hao mashekh..nijibu shekh mwaipopo anaweza vipi kuwa free na hakuna anaye mgusa wakati kina lissu wapo jela kwa kusema kitanuka tu..je kuna shekh yoyote anaye wakemea hao mashekh...mauaji ya kidini yanayo fanya na waislamu ni dhahiri...labda wewe ndiyo wale wanao Dhani mauaji ya kidini ni lazima kila muislamu hausike.
 
Kila mwaka watu wanazungumzia uchaguzi wa viongozi wajao ili wapate chakula na si maendeleo na maendeleo ya Nchi sio kipaumbele chao wao ni nani aongoze 2040 huko..
 
Back
Top Bottom